Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama.
"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.
#YangaParade #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
NBC: Harmonize ( jeshi) Diamond Platinumz, (world superstar) alikiba (legend) vannboy (chui) marioo.
Wote ni wananchi
Wanasimba Sasa [emoji23][emoji23]
Kingwendu
Kitale
Mkojani
Tundamani
cocastic
View attachment 2656295

Hakuna mshabiki anahama tusidanganyane, kama yeye ni Yanga basi hajawahi kuwa shabiki wa Simba labda alikuja kudanga tu kama Manara alivyokwenda kudanga Yanga. Halafu mtu unahama kwa kushawishiwa na mdangaji huo ni wetu.Diamond Platnumz ametangaza rasmi kujiunga katika klabu ya Yanga SC akitokea katika klabu ya Simba SC kama Shabiki na Mwanachama.
"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.
#YangaParade #yangasc #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
NBC: Harmonize ( jeshi) Diamond Platinumz, (world superstar) alikiba (legend) vannboy (chui) marioo.
Wote ni wananchi
Wanasimba Sasa [emoji23][emoji23]
Kingwendu
Kitale
Mkojani
Tundamani
cocastic
View attachment 2656295
Sema mwakani tuwaachie kidgView attachment 2656438
imagine PAPA alituma mwakilishi kupokea parade la WANANCHI we KOLO ni nani mpk ubishe [emoji1787]
Labda Vihiyo..Kwa mafanikio yanayokuja.....mtakuja Yanga wengi tu
Kuna wengine mpira wanaujua ukubwaniHakuna mshabiki anahama tusidanganyane, kama yeye ni Yanga basi hajawahi kuwa shabiki wa Simba labda alikuja kudanga tu kama Manara alivyokwenda kudanga Yanga. Halafu mtu unahama kwa kushawishiwa na mdangaji huo ni wetu.
Wasiokua na akili...Vihiyo ndo nn mkubwa[emoji23][emoji23]
kwenu nyie utopoloDiamond platinumz ni influencer
As well as celebrity
Mazinge tapeli tu,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwenye list ya mazinge huyo Ali kiba nae yumo kwenye huo u-freemason
Kaja kwenu na mlevi mwenzake manaraIla mnawapenda Wala ngada[emoji23]
Vipi sakata la bandari huko?Taifa ni la wananchi View attachment 2656496