Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Yanga ni kituo cha kupumzika, ukiwa na stress zako huko ulipo ukija Yanga unapewa tabasamu. Kwa hiyo wanamsimbazi mnakaribishwa kurest in peace huku.
Yaaah kabisa mkuu [emoji23][emoji23]
 
Leo alikuja peke yake mkuu
sawa muache apige hela ya jisiem.ila ukweli anaujua mwenyewe.uzuri ushabiki wa simba na yanga sio wa MAIGIZO.yaani kama utotoni ulikuwa unaipenda simba.utabaki hvyo hvyo mpaka unakufa.
 
Huyo mtumia nyota kashatumia za wasanii wake sasa yupo simba na yanga.Kaonja kidogo kwa jgui diarra kanogewa.
 
Kwenye global economy the government can't complete with private sector....in investments

Rather than the government should create an enabling environment to private sector [emoji106][emoji106][emoji106]
Wasomi wa kiafrika wanachojivunia ni kiingereza tu.
 
"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.
Kwa hiyo Yanga kuweni makini msimfanyie Manara fitina, maana mkimfanyia tu basi na Diamond atahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…