Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa.Huku siasa hamna mkuu
ndipo akili za utopolo zinapoishia kufikiriaKwa taifa....
sawa muache apige hela ya jisiem.ila ukweli anaujua mwenyewe.uzuri ushabiki wa simba na yanga sio wa MAIGIZO.yaani kama utotoni ulikuwa unaipenda simba.utabaki hvyo hvyo mpaka unakufa.Leo alikuja peke yake mkuu
Ahakikishe kabla ya kufanya hivyo meno yake ni imara.Maendeleo hayana Chama View attachment 2656297
Kwa hiyo mmetumia nyota ya zeruzeru.Japo hamkumkula kiungo.Lkn Baada ya manara kusepa .....kombe Gani mmechukua
Wasomi wa kiafrika wanachojivunia ni kiingereza tu.Kwenye global economy the government can't complete with private sector....in investments
Rather than the government should create an enabling environment to private sector [emoji106][emoji106][emoji106]
Na wewe unaamini kabisa kuwa Manara amewapa makombe?Lkn Baada ya manara kusepa .....kombe Gani mmechukua
na watu ndio mtaji wake wa kupiga pesaAshapima upepo.....wapi Kuna watu
Kwa hiyo Yanga kuweni makini msimfanyie Manara fitina, maana mkimfanyia tu basi na Diamond atahama"Walimfanyia Fitina Manara, kwanza Manara ni ndugu yangu ukimfanyia Fitina Manara umenifitini na mimi"- Diamond Platnumz, Msanii wa muziki na Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Media, WCB Wasafi.