Diamond: Simba byebye walimhujumu ndugu yangu Manara

Kwnn ulihama mkuu.....Ili Makolo wajue
Nilikuwa bado sijawahi kuiona Yanga ikicheza si unajua kipindi hiko nipo darasa la kwanza Tv kwa jirani kila siku nakuta mechi za Madunduka nikasema timu Yangu yenye rango nyekundu kwa vile walikuwa kama Maharage na watoto wanaenda wali harage.

Nilipoiona Young Africans kwa mara ya kwanza nikauliza hii timu gani ipo bongo kweli au Ulaya wakasema ya hapa hapa bongo , basi hapo hapo nikawahama Makolo mpaka leo.
 
Dah... Hii haijakaa poa..
I'm Young Africkeeiinzz..
I'm Diamond's fan..

Ila hii sio poa..
 
Mzee wa kiki anataka watu wamuongelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa anajikuta Sakho,chama,kapombe kwamba akiondoka watu wataumia,kwenda huko
 
Ila Manara aliwaharibia simba kuwasogeza kwa Diamond na sasa Yanga imeshapotea mondi huwa ana nuksi akiwa karibu na kitu.
 
Diamond hana Ushawishi Simba. Club alizikuta alivyozaliwa na zilikua na mashabiki wengi tu
 
Basi inawezekana Kalpana yupo kwenye hii situation
 
Mzee wa kiki anataka watu wamuongelee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaa anajikuta Sakho,chama,kapombe kwamba akiondoka watu wataumia,kwenda huko
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…