adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Nilikuwa bado sijawahi kuiona Yanga ikicheza si unajua kipindi hiko nipo darasa la kwanza Tv kwa jirani kila siku nakuta mechi za Madunduka nikasema timu Yangu yenye rango nyekundu kwa vile walikuwa kama Maharage na watoto wanaenda wali harage.Kwnn ulihama mkuu.....Ili Makolo wajue
Nilipoiona Young Africans kwa mara ya kwanza nikauliza hii timu gani ipo bongo kweli au Ulaya wakasema ya hapa hapa bongo , basi hapo hapo nikawahama Makolo mpaka leo.