Diamond sio Msanii wa Kimataifa kama anavyoaminisha watu


Wasanii wanapokuambia nataka mziki wetu ufike kimataifa, huwa hawamaanisha kufika kenye na uganda. naona wewe huelewi chochote, nenda ukawaulize.

Second: achane kujifariji kuwa marekani kuna maisha maguu. siri hiyo nimekupa kaa nayo akilini mwako.
 
Hizo 02 Arena wanajaza robo tatu wa naija wenzao . kama we ulivyoenda kwenye show ya daimond, sema mkawa wa Tanzania wachache . Mngekuwa wengi mbona mnajaza 02 Arena kabisa

hapana mkuu sio wanigeria tu, show zao ni watu wote, diamond ni watu wa east africa tu, ambao kwenye state moja hawawezi kufika 200.
 
Unayajua makampuni matatu makubwa ya muziki hapa duniani?(big three Recording Labels)
Boss tuelewana, unafikiri diamond anaposema natafuta soko la kimataifa ana maanisha hilo soko la uganda na kenya?.

sikupigi uko sahihi ila wasanii wanapotumia neno wa kimataifa ndo ujue leo ni kwamba kujulikana kama vile nchi ya
 
Sio wa Kimataifa and he's 31st years old. Ila anaweza kupiga show sehemu nyingi Africa na nje ya Africa akapata audience yake and he's richer than you.
Hivi 1989 Hadi Leo Ni miaka 31 kweli?
 
Kashawajibu leo Haters
 
Boss tuelewana, unafikiri diamond anaposema natafuta soko la kimataifa ana maanisha hilo soko la uganda na kenya?.

sikupigi uko sahihi ila wasanii wanapotumia neno wa kimataifa ndo ujue leo ni kwamba kujulikana kama vile nchi ya USA
Weka ushahidi kuthibitisha kama anaposema kimataifa hamaani nchi za Kiafrika bali anamaanisha USA na England.
 
Weka ushahidi kuthibitisha kama anaposema kimataifa hamaani nchi za Kiafrika bali anamaanisha USA na England.

Sikiliza Interview zake
 
Sijawahi kuperuzi JF siku mbili mfulilizo bila kukutana na nyuzi mpya kumuhusu Diamond Platnumz, iwe ni kwa uzuri au kwa ubaya.
Hii inadhihirisha ukubwa wake(kimuziki) pamoja na impact liyonayo katika music industry.
 
Maana ya kimataifa nini?
 
Si msanii wa Afrika bali Afrika Mashariki tu, shoo zake za kijinga mno na hazina mshiko.

Alipiga shoo Canada watu hata mia 2 hawakufika, shoo iliboa kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…