Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Yaan Zuchu alingane na Bhoke??we Zuchu kadumaa ni mkubwa yule
 
Sasa nimeelewa kwanini unapendwa hivi.
Watu wanakuita kila Uzi.
"Ona
Toto lina roho nzuri sana.
Toto halibanii vitu vya mjini mitandaoni".
Hapo juu soma in Mondi's voice.
Ila nakuomba ubanie naniliu tu uwe wa kijana wangu pekee. Huyo mtarajiwa wako.
Hadi wanaume mnapenda udaku.
 
Hadi wanaume mnapenda udaku.
Sasa tunaona Mondi kafanya hivi.
Mara video zile.... Hatuelewi what's going on?
Then, curiosity gets the best of me! Natamani kuelewa kuna nini.
I barely socialize with random people in social medias. The only place I can get current news is JF and somehow YouTube. Nafikiri nimeanza kuzeeka Sasa.
 
Yeah ndio hivyo, mond alikua anamsaliti zuchu na huyo mrembo rita hadi mimba akampatia.
ila wameshaachana baada ya mond kua mbahili hatumi hata hela ya kula kwa rita.😂
 
Yaan Zuchu alingane na Bhoke??we Zuchu kadumaa ni mkubwa yule
Dar ni kijiji kidogo sana watu wengi wanajuana (kweli sio kwa hadithi) za kusimuliwa. Japo simjui Zuchu vizuri sana, ila nilikuwa namjua mama yake vizuri sana kama sister.

Kwa sababu nishaandika mengine sitaki kusema namjua vipi Khadija kopa, watu waunganishe kutokana na maandishi ya awali.

Kwa kifupi ni kwamba, marehemu Kaka yake Zuchu (Omary), kakulia upanga (Mathurudas Road). Khadija Kopa hakuwa mama mzuri alimbwaga tu huyo mtoto kwa jamaa yake.

Zuchu ni katoto kadogo sana, hata kwa muonekano si unakaona.

Wasafi wenyewe wanakwambia kalikuwa background singer kakiwa kana miaka 16. Ka Zuchu ni katoto.

Zuchu ni mtoto mdogo mno, hasta hili stress anazopewa.

Dar ni mji mdogo sana, na kuna wenye mji wao. Mfano mtu kama Mangę kama anataka umbea wote wa mjini kuhusu mastaa wa Dar mtu kama Junaitha hakuna asilojua hapo (waliokulia hapo wanaitana watoto wa kijiweni).

Ni kamji kadogo
 
Hadi wanaume mnapenda udaku.
Zamani tulikuwa busy na mambo ya siasa na uchumi humu JF na mitaani.
Sasa unaona watu wengi humu wanajadili petty issues.
Wanasiasa nao wanakatisha tamaa, pia hatari kwa maisha yako ukijiingiza Sana kwenye siasa.
Unaweza kupotea au kukosa deals au kazi.
Trust me, humu unachangia unadhani hujulikani. Ila tunajulikana na wenye kuhitaji kutujua. Unaweza kupata au kupoteza maisha(deals) kwa comments zako humu.
 

There's more to music than solely the voice. Character, physique, public image, relationship with stakeholders etc. Hata mondi sio muimbaji Bora kwa maana ya sauti ila anawaacha mbali wengi sana wenye sauti kumzidi.
 
There's more to music than voice. Character, physique, public image, relationship with stakeholders etc. Hata mondi sio muimbaji Bora kwa maana ya sauti ila anawaacha mbali wengi sana wenye sauti kumzidi.
Kabisa ila numbers don’t lie.

Kuna mwanamuziki Tanzania, ukitoa Diamond; anaemzidi Zuchu kwa YouTube views.

Na kwenye video pekee ata ukimuweka na Diamond. Kuna mwanamuziki Tanzania anaemzidi Zuchu kwenye nyimbo ambazo msanii kaimba mwenyewe au featuring zenye 50 million views YouTube.

Embu mtaje (hata Diamond, amfikii Zuchu kwa nyimbo zilizozidi 50m views YouTube).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…