Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...Wadada wanamkubali Diamond ili wapate status na hela.
Sasa huyu rita analalamika hata hela ya kula alikua hapewi🥲 kumbe Diamond ni bahili kuhonga duuh
Inaonekana hao wanaopewa hela kuna sababuKuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...
Hela inahitaji nidhamu vinginevyo kufilisika ni dakika moja. ukiwa unatotoa bila mpango kurudi kwenye umasikini ni dakika tu.Kuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...
Ubahili mpaka kwa mwanamke mwenye mimba yako?🤔Hela inahitaji nidhamu vinginevyo kufilisika ni dakika moja. ukiwa unatotoa bila mpango kurudi kwenye umasikini ni dakika tu.
Kabisa ila numbers don’t lie.
Kuna mwanamuziki Tanzania, ukitoa Diamond; anaemzidi Zuchu kwa YouTube views.
Na kwenye video pekee ata ukimuweka na Diamond. Kuna mwanamuziki Tanzania anaemzidi Zuchu kwenye nyimbo ambazo msanii kaimba mwenyewe au featuring zenye 50 million views YouTube.
Embu mtaje (hata Diamond, amfikii Zuchu kwa nyimbo zilizozidi 50m views YouTube).
Kuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...
So mimba ni password ya ATM au ? Unajibebesha mimba kwa mtu ambaye anavuta muda na wewe kisa umeona anahela.Ubahili mpaka kwa mwanamke mwenye mimba yako?🤔
Sometimes Mapenzi hayashauriki mwehKuna clip lokole aliivujisha ila akawahi kuifuta khadija kopa alikua anamsema zuchu "mwanangu kama bwana hakutaki si urudi nyumbani kwanini unang'ang'ania"
yupp radhi!Sawa kwahy mwanae ataendelea kuishi vile?
Yap, mzee aende vyuo vya manesi vile vikubwa hapa bongo.Kuna vyuma zaidi ya ile, chief. Onge na watu vizuri mjini hapa 😂
Wana sema kana jeuri na kiburi, halafu haambiliki.Kwa Tz hakuna msanii wa kike anafika level za Ruby kwenye kuimba, sijajua nini kinamsibu yule dada...
Kwenye Ruby mmoja kuna Zuchu wawili na nusu..
Angepata nafasi ya kusoma hapa, huenda akili ikafunguka.Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu, kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama Mondi alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator, 🙌🏻
Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,
NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.
#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Itadorora kwa kipi? Na hawawezi kuachana kimapenzi, ila wakawa karibu kikazi?Zuchu ndio anatakiwa aondoke na kuanza upyaa. Diamond hawezi muacha mwanamke anayemuingizia pesa. Zuchu akitoka Wasafi itadorola.
Ndio tunatamani iwe hivyo, wafocus na kazi tatizo mzanzibar amependa, kafa kaoza kwa muhuniItadorora kwa kipi? Na hawawezi kuachana kimapenzi, ila wakawa karibu kikazi?
Mapenzi upofu pia the guy ana manipulate her mind ili asivuruge biashara yakeNi kwamba Zuchu haoni kuwa hatakiwi au karogwa? Kwa umri wake ni mtu mzima yule anatambua kila linaloendelea sasa kama kaamua mwenyewe kukaa mahala na anajua fika hatakiwi shauri zake.
HahahahaKwahiyo unamwambia zuchu kuwa mungu atakuja kumpa mwanaume wa kumuoa baada ya kuvuruga ujana wake na hao akina dayamondi?
Unamaanisha atatokea Aziz Ki mwingine huko miaka ijayo?