Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Wadada wanamkubali Diamond ili wapate status na hela.
Sasa huyu rita analalamika hata hela ya kula alikua hapewi🥲 kumbe Diamond ni bahili kuhonga duuh
Kuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...
 
Inaonekana hao wanaopewa hela kuna sababu
 
Kuna jamaa niliwahi kufanya nae kazi somewhere, alishawahi kuwa katika inner cycle ya WCB anasema Diamond ni mbahili hakuna mfano. Pia story kibao za uchafu hapo mpaka unajiuliza huyo zuchu anachokitafuta hapo ni nini...
Hela inahitaji nidhamu vinginevyo kufilisika ni dakika moja. ukiwa unatotoa bila mpango kurudi kwenye umasikini ni dakika tu.
 
Kabisa ila numbers don’t lie.

Kuna mwanamuziki Tanzania, ukitoa Diamond; anaemzidi Zuchu kwa YouTube views.

Na kwenye video pekee ata ukimuweka na Diamond. Kuna mwanamuziki Tanzania anaemzidi Zuchu kwenye nyimbo ambazo msanii kaimba mwenyewe au featuring zenye 50 million views YouTube.

Embu mtaje (hata Diamond, amfikii Zuchu kwa nyimbo zilizozidi 50m views YouTube).

I'd argue zuchu anasikilizwa sababu ya mondi na wasafi nje ya Hapo wakawaida sana. Binafsi naona nyimbo zake zakitoto toto sana mara 10 Nandy in my opinion.
 
Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu, kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama Mondi alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator, 🙌🏻

Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,

NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.

#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
 
Huyo binti haijielewi.. Kuna vitu anakosa na ni muhimu sana maishani, anahitaji mtu wa karibu ambae anaweza kumueleza ukweli huu, kwa bahati mbaya waliomzunguka watakuwa machawa ambao hawawezi kukwambia ukweli, wanaogopa urafiki utaisha nao watakosa mrija wa pesa.
 
Haya mengine mapya kumbe Mondi alimdanganya binti wa watu anamtolea posa tarehe 31 January this year, familia imekusanyika siku ya mahari jamaa hafiki na simu hapokei, saa nne usiku ndio anampigia simu mama Zuchu kumwambia hawezi kwenda mama ake hamtaki Zuu, kamwambia akimuoa atafute mama mwengine, huu kama sio uuaji ni nini jamani, mama Mondi alionesha kitambo kua hamtaki Zuu kwann ghafla iwe sababu ya yeye kutokumposa kisa mama, kama haitoshi after 3 days akamrubuni binti akaenda kwake na kumfungia ndani after few weeks wanajitokeza public kwenye harusi ya Jux, huyu jamaa ni manipulator, 🙌🏻

Jamani mie mabinti wa Kizanzibar nawajua wakipenda wanapenda haswaa wana mapenzi ya kwenye movies za kihindi, hawajanjaruka kama waTanga na waMombasa huyu binti tutakuja kumkosa, narudia tena Zuchu tutakuja kumkosa, na hapo tuombe huyo muhuni asiwe kaanza kumlambisha sembe ndo tunamkosa kabisaaaaaaaaaa,

NASEEB MUACHE ZUHURA ACHA KUMTESA BINTI WA WATU.

#FREEZUCHU,PRAY4ZUCHU#
Angepata nafasi ya kusoma hapa, huenda akili ikafunguka.
 
Ni kwamba Zuchu haoni kuwa hatakiwi au karogwa? Kwa umri wake ni mtu mzima yule anatambua kila linaloendelea sasa kama kaamua mwenyewe kukaa mahala na anajua fika hatakiwi shauri zake.
 
Zuchu ndio anatakiwa aondoke na kuanza upyaa. Diamond hawezi muacha mwanamke anayemuingizia pesa. Zuchu akitoka Wasafi itadorola.
Itadorora kwa kipi? Na hawawezi kuachana kimapenzi, ila wakawa karibu kikazi?
 
Ni kwamba Zuchu haoni kuwa hatakiwi au karogwa? Kwa umri wake ni mtu mzima yule anatambua kila linaloendelea sasa kama kaamua mwenyewe kukaa mahala na anajua fika hatakiwi shauri zake.
Mapenzi upofu pia the guy ana manipulate her mind ili asivuruge biashara yake
 
Back
Top Bottom