Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Naomba Tiffah asije akalipia ujinga wa baba ake jamani
 
Wow! Natamani Zuu angeusoma huu ujumbe mzuri sana labda moyo wake ungelainika na kuijua thamani yake,
Thank you Becky for being positive juu ya mwanamke mwenzetu 😍🥰
 
Zuchu amependa ameshakua kipofu sasa Mondi kwa kua hisia hana ndie amuache aende zake
Mondi alishajisemea akimchoka mtu atampiga matukio aondoke mwenyewe, kwa hiyo hapa ni yeye Zuchu ndio azinduke aondoke sasa sijui ni nani wa kumuambia mana ni kama ufahamu hakuna ama labda ana target zake ambazo wengine hatujazijua bado.
 
Hajamshika yeye mwenyewe inabidi aamue aende. Yale yale ya kulaumiwa marehemu rugr ndiyo hayo hayo anafanya bwana mkubwa.
 
Kwmba hana makalio na vititi kama nukta?? Ila jamani umaarufu zigo la mavi...
Kuna kipindi walikua wanamuita 'lady boy'
Umaarufu ni shida sana hawa maStar wanapitia mengi, yote tisa familia ya kina Kardashians nahisi ndio inaongoza kuchukiwa duniani 🙌🏻
 
Atakuja kustuka too late, huyu nae hivi haoni km hapendwi toka kwa Domokaya hadi ndugu zake? Lol
Anakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofu
 
Kuna kipindi walikua wanamuita 'lady boy'
Umaarufu ni shida sana hawa maStar wanapitia mengi, yote tisa familia ya kina Kardashians nahisi ndio inaongoza kuchukiwa duniani 🙌🏻
Yani umaarufu una mambo mengi sanaaa mi siyawezi..
Hasa kwny kumantain status ndo tatizo
 
Zuchu ni king'ang'a promax. Kwa hili mwenye makosa ni zuchu. Kwanini hana msimamo wa kumuacha mondi, akimshawishi kidogo analainika. Angekua mdogo angu ningemficha mahali hata mwezi.
 
Anakwambia "we chezewa ukimaliza nenda, hatuachani kisa ujinga" kumbe kenyewe ndio kanachezewa maskini, kweli kupenda upofu
Yaan anataka kuonesha yeye ni komando, kuuweza Mfupa uliowashinda mafisi.

Toka Zari abwage manyanga, sioni mwanamke wa kumuweza Domokayaa.
 
Zuchu amependa ameshakua kipofu sasa Mondi kwa kua hisia hana ndie amuache aende zake
Hivi mnadhani Zuchu pale kapenda kwa Domo,kama Adamu alifelishwa na Hawa basi msanii atakaye ondoka na faida kubwa kama sio kumuangusha kabisa Diamond ni bi Zuhura mda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…