Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Kwani diamond anawalazimisha kuwa nao au njaa zao wenyewe ndio zinawapeleka
 
Inamaana Zuchu hafaidiki na chochote kwa kutoka na Diamond?
 
Tatizo lenu kiasili mnapendaga bad boys/playboys unaweza ukakuta hata huyu unaye mshauri hakuelewi,so tatizo sio Diamond bali tatizo ni nyie jinsia yenu ya kike.

Wanawapenda kwa sababu wana akili kama wao. Wanawakubalia kila kitu licha ya kwamba wanatekeleza 1 kati ya 20. Hawabishi bishi. Ukiwa hivyo hata kama una michepuko ya kufa mtu wenyewe hawajali hiyo
 
Ngoja nikuulize kati ya diamond na Zuchu nani alikuwa anamtaka mwenzake kimapenzi?
 
Huyu Diamond mwambieni ukweli afike hatua aje apatane na mzazi wake Dunia ijue kiburi chake chake hatakuja kuoa naye watoto wake watakuja kumu treat the same muda utasema ivi unahela sawa lakini ndoa ni kizungumkuti Mungu alisha mfunga hataoa hapa Duniani ila shenanigans atamupa pesa sana imeandikwa mtii babako ili mbingu zifunguke
 
Kwanini usimshauri huyo zuchu
 
It's a W for the boy child!. It's always good to see a boy child winning in this game called love. Safi.
 
Sure. Akiingia kwenye kubwia sembe ndo basi tena. Hivi mamako anavyokataa ndoa na mwanamke unayempenda anataka umuoe yeye? Shame shame shame! Zuchu ana shida gani hadi akataliwe?. Nasikia yule bimkubwa alichangiaga wao kuachana na Wema pia.
 
Hasi siku Zuchu aje ajiue ndo watu wataelewa madhira anayopitia. Save someone's life while still you can. Don't be the reason why someone is having a hard time.
Watu watalia na Maisha yataendelea kwani mkataa pema pabaya pana mwita yeye si mtoto ukute ni mkubwa kuliko huyo Diamond
 
Hasi siku Zuchu aje ajiue ndo watu wataelewa madhira anayopitia. Save someone's life while still you can. Don't be the reason why someone is having a hard time.
Thank you kwa kuelewa hili, inabidi uwe na akili kubwa kuielewa situation ya Zuchu,
Sio kuhusu umri au fame hapa ni moyo wa binti umezama kwa mtu asiye sahihi matokeo yake hua sio mazuri aidha msiba au masikitiko,

Mental health is real na 90% ya watu wanaopata mental health sababu ni mapenzi
 
Wewe ni Mange Kimambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…