Diamond tafadhali muache Zuchu huru mbakie kwenye biashara pekee

Sasa Daktari huyo si ndio mgonjwa wako mfate umpe sessions za kutosha atarudi kua sawa, lol
 
Atakuja kustuka too late, huyu nae hivi haoni km hapendwi toka kwa Domokaya hadi ndugu zake? Lol
Afu we kamama why siku hizi hauniheshimu?🙁 tatizo lenu mkipata danga mnatusahau wahuni tulokua tunawanunulia mihogo na maji ya kandoro 😭😀🤣😄
 
ndio maana nikamtaka Mondi amuache yeye, amkatae, amsukume, amkemee yaani kiufupi atumie njia zozote
Walai nimecheka sana kama namuona mondi na virasta vyake akimsukuma Zuhura huku anamkemea will be like "achana na mimi sikutakiiiii mbona unalazimisha penziiiii, ishia zako siwezi kua na demu mshamba anabana na uzi skin tight ya buku tatu....." nyie🤣🤣🤣🤣
 
Nje ya mada, Somo la saikolojilia lianze kufundishwa form two na liwe compulsory . Teenagers wakue wakiwa wanajua aina za personality za watu wanaokutana nao kwenye jamii iwe kazini au kwenye mahusiano na namna ya kudeal nao.

Mond is purely a Narcissist, Kisa cha kuanza kumtomb* Zuchu ni kile alichosema mwenyewe “Siwezi kuwekeza hela yangu nyingi halafu mwingine ale kirahisi, Nonsense! isn’t it a business, Natoa kipaji unatoa pesa, unapata pesa, nami napata pesa? Wale wa kiume je anawafanyaje? Zuhura bila kujua analiwa sababu tu a man can’t stand seeing another man with her. Zuhura unajimaliza bure kumfurahisha Mond, He is not into you, hata akikuoa sio ushindi sababu hajawahi kukupenda, utaishi maisha magumu, utacompromise vingi ili kumfurahisha yeye, utasacrifice furaha yako ili afurahi yeye, and he will never get satisfied.

Zuhura ukipendwa vizuri, love is very easy kwa sisi wanawake, utakachofanya ni kuexist tu na kuenjoy.

Ndani ya mada, bado naunga mkono hoja amuache au amuoe.
 
Kama binti amekosa malezi mazuri kutoka kwa mamake mwache mhuni afaidi. Mama anakubali kabisa binti anaishi kwa mwanaume bila posa,mahari wala ndoa.Unaanzaje kumlaumu Dayamondi ?
 
Sema haya mambo kwa nje yanaonekana rahisi, vifungo vya mapenzi sio kama vya kisiasa nyapapala kulinda mfungwa na bunduki asitoroke. Mapenzi ni kifungo huru ambacho mfungwa wake ndio mwenye maamuzi awe huru au kubaki mateka. Zuchu atatoka siku akisema na moyo wake ya kuwa enough is enough hivi hivi hawezi. Monde lugha ya mapenzi anaijua na udhaifu wa bi zuu ashaujua so kutoka huko ni kazi ngumu.
 
Ni kwamba Zuchu haoni kuwa hatakiwi au karogwa? Kwa umri wake ni mtu mzima yule anatambua kila linaloendelea sasa kama kaamua mwenyewe kukaa mahala na anajua fika hatakiwi shauri zake.
Habari za mapenzi hata wa 60 yrs wanadanganywa vitu watu wa nje wanavoviona tena vya hovyo mlengwa havioni kifupi mapenzi ni ujinga na unafik wa hali ya juu.
 
Kwani zuchu kalalamika wapi au amekutuma? Muda utaongea tuvute subira wazee wa Kasusu tuendelee kuagiza hesabu kwangu
 
Zari mwenyewe yalimshinda kabisa sasa hivi anaenjoy na shakib,shakib anazidiwa umaarufu na pesa na diamond lakin lizuri mnoooo
Unajua Domokaya anahitaji kupata mwanamke at least awe na cha zaidi kwake.

Zari Ali win hilo, ila na yeye akachoka akaamua atimke ndukiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu we kamama why siku hizi hauniheshimu?[emoji853] tatizo lenu mkipata danga mnatusahau wahuni tulokua tunawanunulia mihogo na maji ya kandoro [emoji24][emoji3][emoji1787][emoji1]
Oooh babeee ulipotelea wapiii? Ndo ukanitekeleza mazima?
Nimekumic mno Ba mtu. [emoji8][emoji8][emoji8], [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua Domokaya anahitaji kupata mwanamke at least awe na cha zaidi kwake.

Zari Ali win hilo, ila na yeye akachoka akaamua atimke ndukiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angemuwin Diamond angemtuliza akatulia tulii na akamuoa
 
Tatizo lenu kiasili mnapendaga bad boys/playboys unaweza ukakuta hata huyu unaye mshauri hakuelewi,so tatizo sio Diamond bali tatizo ni nyie jinsia yenu ya kike.
👏 👏 👏 tabia za dai zinajulikana, kuna asiyejua? Punda milia hawezi kubadili mistari yake. Ghafla bin vuu.. Zuhura anategemea atabadili rangi awe punda kwaajili yake. Ladies should choose better
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…