Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

TRA mna sifa njema kwa nani? Rushwa, vitisho na kubambikizia kodi watu si ndiyo zenu?

Kwani mnajua hata pesa hutafutwa vipi zaidi ya rushwa?

IMG_20221230_214026_834.jpg


Hapa Simba mmemkwaza.

Ni vile tu huyu mwamba aliimba ule wimbo wake wa baba lao wengine akatukwaza.

Simba mmemfikisha huku? Tuonyesheni nani ana jema la kuwaongelea ninyi.

Bure kabisa.
 
View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza” Diamond
TRA wako kazini, na hiyo ni sehemu ya majukumu yao. Mbona wanatembelea maduka yetu mitaani, nini huyo mkata mauno!?

Yaani asikaguliwe hata kama ana EFD machine eti wamuite ofisini? Ofisi ya TRA ndio zinakaa EFD machine za diamond.

TRA wameshamnusa, Kuna kajambo kameshajulikana
 
Awaache TRA wamkague, nyie si ndio mnaliaga eti mama anakopa, Sasa mama ameamua kukusanya.

TRA wanatembea mpaka manzese, kwenye maduka, yeye nani asitembelewe?

Na anajua kwamba serikali imeshajua kitu katika makampuni yake. Don't mess na Serikali inapokuwa kazini
 
Ujasusi wa kiuchumi na kidola!

Yeriko nyerere!

DOLA huamua Nani awe tajiri Nani awe masikini KWA WAKATI Gani!

DOLA iheshimiwe Sana!

Mzee Lowasa alidanganywa atashinda urais pesa zikamiminika kibao akiamini anashinda kumbe anafilisiwa kiaina!!

DOLA iacheni tu HAINA mwenyewe!!!

Hizi ni dalili za anguko la diamond,nyakati zimefika za yeye kuanguka!!asijichanganye amakinike!
 
Umeamua uvunje ukimya?..si ulisema Mama ako kakwambia Bora ukae kimya..
 
TRA wamekaa kibabe Sana nimemsikia Diamond akilalamikia kwamba kama wanashida nae number ya simu yake wanao wampigie au kama lolote lipo yupo teyari kuruhusu majadiliano kuliko kumvamia kwenye ofisi yake kama vile ni kibaka binafsi jamaa kaeleza vizuri Sana kwa Huu upuuzi wa TRA watamchafulia Mama sifa
 
Back
Top Bottom