Mkuu kwani umemuelewa kijana yeye hajapinga suala zima la kulipa na amesema ni mlipaji mzuri wa kodi anacholalamikia ni namna njia wanayotumia TRA kuvamia ofisi as if yeye ni kibakaAwaache TRA wamkague, nyie si ndio mnaliaga eti mama anakopa, Sasa mama ameamua kukusanya.
TRA wanatembea mpaka manzese, kwenye maduka, yeye nani asitembelewe?
Na anajua kwamba serikali imeshajua kitu katika makampuni yake. Don't mess na Serikali inapokuwa kazini