Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Mkuu kwani umemuelewa kijana yeye hajapinga suala zima la kulipa na amesema ni mlipaji mzuri wa kodi anacholalamikia ni namna njia wanayotumia TRA kuvamia ofisi as if yeye ni kibaka
 
Mkuu kwani umemuelewa kijana yeye hajapinga suala zima la kulipa na amesema ni mlipaji mzuri wa kodi anacholalamikia ni namna njia wanayotumia TRA kuvamia ofisi as if yeye ni kibaka
TRA Wana haki ya kuingia mahali popote, na wakiingia, si wavamizi, wanaitumia haki yao kisheria.

Hivi unamtaarifu kibaka kwamba nakuja kukukamata?

Ukitaka mke mrembo, kaoe msibani akiwa analia, au muwahi asubuhi bado hajapaka maunga ya urembo.
 
Unaipangije mamlaka ya kiserikali namna ya kufanya kazi?
 
Kwani wenye sifa mbaya kwa jamii ni Hawa tu?

Wengine wako huku:

Mamlaka zinapotumika kukandamiza watu

Bure kabisa.

NInakazia: Simba alitukera wengine na kale ka wimbo chake tU. Ila kwenye hili, big No!
 
Ali

Alizoea kubebwa anatakiwa alipe kodi sa hivi hakuna tena kulipa kodi kwa mtindo wa kutumbuiza kwenye campaign
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…