JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Anzisha kampuni na wewe,ulipe Kodi,uone utamu wake!!Kuna watu ni kenge sana,hv mnafikiri WCB ilianzishwa kirahisi kama kuanzisha group la Whatsapp!!huyu si ndio mpiga tarumbeta wa ccm kwenye kampen mpumbavu kabisa tena wamshughulikie mpaka atie adabu
Unaendesha media house kama genge la mangi unategemea niniKabisa Mbona SSB hajalalamika accounts zake kuzuiwa? Dainamo aache mba mba mba, ajiri wahasibu wakufanyie mahesabu na wakuandalie kodi gani unastahili kulipa na uilipe uone kama utasumbuliwa na TRA.
Alipe kodi HATA akienda na shat la njanoBasi avae shati la kijani aende kumuona kamishna wa TRA
Hawajui kuwa kujimwambafy kwao ndiko kunaonyesha wana MAPATO makubwa na kodi zao lazima ziendane na mapato yao?Aiseee. Wengine tukajuwa kuhodhi macheni ya 500m/= na kujigamba nayo basi hata TRA wakileta zao siyo issue?!
Analalamika kama sisi?! Kumbe kabwela tu Diamond. Kujimwambafayi kumbe hamna kitu.
Maisha ya social media fake sana sana aise
Kwa vile mimi nina kampuni, wengi wa wafanyabiashara wadogo walioshika pesa ndefu kwa bahati, vipaji na mambo fulani, are not tax compliance, hao mameneja wao ni mameneja sio mameneja lolote, chochote, ni ma promota tuu!, Wasafi lazima aajiri Tax Consultant, amsaidie kwenye tax compliance, haya mambo ya e- filling yanahitaji umakini mkubwa!.View attachment 2463774
“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”
“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.
Pia soma;
TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
That is the right response and a good advice👍🙏Kwa vile mimi nina kampuni, wengi wa wafanyabiashara wadogo walioshika pesa ndefu kwa bahati, vipaji na mambo fulani, are not tax compliance, hao mameneja wao ni mameneja sio mameneja lolote, chochote, ni ma promota tuu!, Wasafi lazima aajiri Tax Consultant, amsaidie kwenye tax compliance, haya mambo ya e- filling yanahitaji umakini mkubwa!.
Diamond Platinumz na Wasafi media lazima alipe kodi stahiki kwa kila mapato halali anayoingiza, asitafute visingizio na kutafuta huruma kwenye mitandao ya jamii!.
TRA wako very right kumfungia accounts, ukiona hivyo ujue alitumiwa reminder kibao za kodi atapuuzia, leo ndio tarehe ya mwisho ya TRA kufunga mwaka wa kikodi, hivyo akalipe tuu kodi zetu zote na accounts zinafunguliwa leo leo.
P
IRS marekani kwenye masuala ya kodi hata uwe dude gani wao wanataka chaoWanamuziki wenzake kina Jay Z ni walipaji wa kodi wazuri sana!
Yeye anawatumia wakina salam sjui na machawa wengine wamfatilie mambo yakeKwa vile mimi nina kampuni, wengi wa wafanyabiashara wadogo walioshika pesa ndefu kwa bahati, vipaji na mambo fulani, are not tax compliance, hao mameneja wao ni mameneja sio mameneja lolote, chochote, ni ma promota tuu!, Wasafi lazima aajiri Tax Consultant, amsaidie kwenye tax compliance, haya mambo ya e- filling yanahitaji umakini mkubwa!.
Diamond Platinumz na Wasafi media lazima alipe kodi stahiki kwa kila mapato halali anayoingiza, asitafute visingizio na kutafuta huruma kwenye mitandao ya jamii!.
TRA wako very right kumfungia accounts, ukiona hivyo ujue alitumiwa reminder kibao za kodi atapuuzia, leo ndio tarehe ya mwisho ya TRA kufunga mwaka wa kikodi, hivyo akalipe tuu kodi zetu zote na accounts zinafunguliwa leo leo.
P
Shakira tu huko alipo sahv wanambinyaaaa balaaaaKabisa Mkuu ,US hawana mchezo ukikwepa kodi,Hao kina sinza ni Misukule ya Dainamo ,inalipwa inavyomtetea Boss wao humu ,Dainamo anapata pesa lakini alipi kodi kabisa ,TRA wamemminya Makende anaanza kulia lia wakati huku sie Apeche alolo tunalipa kodi..
Ndo huyuhuyuSio huyu aliyeimba.
Yuleyule baba lao
Makonda baba lao
Akalalamike kwa Makonda. Watu mnaambiwa CCM Ni chama Cha kihuni hamsikii.
CCM mbele kwa mbele. Tena alipe Kodi na tozo huyu mtandale.
Jamaa wamemshika pabaya, maana hata alftatu alikosa🙆♂️🙆♂️Dahhh!maskini alikosa ata Aftatu ya kula
Acha yawakute na wao ili watunge nyimbo vizuri za kuisifia CCM“Wapinzani watetereke” in Zuchu’s voice
Utajua ujui 🤣🤣🤣View attachment 2463774
“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”
“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.
Pia soma;
TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
LIPA KODI ACHA MBWEMBWE,View attachment 2463774