Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

huyu si ndio mpiga tarumbeta wa ccm kwenye kampen mpumbavu kabisa tena wamshughulikie mpaka atie adabu
Anzisha kampuni na wewe,ulipe Kodi,uone utamu wake!!Kuna watu ni kenge sana,hv mnafikiri WCB ilianzishwa kirahisi kama kuanzisha group la Whatsapp!!
Wengine hata genge hamna,mnatukana tu!!pesa anayotumia Mond kufanya birthday ya Binti yake,inazidi kiwango Cha mapato ya baba ake mtu kwa miaka 45 aliyofanya kazi!hapo chuki ndio uanzia!!
 
Aiseee. Wengine tukajuwa kuhodhi macheni ya 500m/= na kujigamba nayo basi hata TRA wakileta zao siyo issue?!
Analalamika kama sisi?! Kumbe kabwela tu Diamond. Kujimwambafayi kumbe hamna kitu.
Maisha ya social media fake sana sana aise
Hawajui kuwa kujimwambafy kwao ndiko kunaonyesha wana MAPATO makubwa na kodi zao lazima ziendane na mapato yao?
Hao machawa wanaowatumia kutambia kipato ndio wanawaponza na TRA wanatimiza wajibu wao kufuatilia kila jambo wasikialo kuhusu mapato

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
View attachment 2463774

“Kuna wakati sipendi kuongea ila TRA wamekaa kama wanataka kuiua WASAFI, sio sawa nadhani viongozi waliangalie hii kwa namna nyingine.”

“Kama juzi account zangu zote zilishikiliwa bila hata sababu maalumu inaumiza,” Diamond.

Pia soma;

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz kwa TRA
Kwa vile mimi nina kampuni, wengi wa wafanyabiashara wadogo walioshika pesa ndefu kwa bahati, vipaji na mambo fulani, are not tax compliance, hao mameneja wao ni mameneja sio mameneja lolote, chochote, ni ma promota tuu!, Wasafi lazima aajiri Tax Consultant, amsaidie kwenye tax compliance, haya mambo ya e- filling yanahitaji umakini mkubwa!.

Diamond Platinumz na Wasafi media lazima alipe kodi stahiki kwa kila mapato halali anayoingiza, asitafute visingizio na kutafuta huruma kwenye mitandao ya jamii!.

TRA wako very right kumfungia accounts, ukiona hivyo ujue alitumiwa reminder kibao za kodi atapuuzia, leo ndio tarehe ya mwisho ya TRA kufunga mwaka wa kikodi, hivyo akalipe tuu kodi zetu zote na accounts zinafunguliwa leo leo.
P
 
That is the right response and a good advice👍🙏
 
Yeye anawatumia wakina salam sjui na machawa wengine wamfatilie mambo yake
Hyo mkata mauno alipe kodi tu
Aacheee longolongo
Wao pesa zao si wanazinadi hadharani,na kutwa kusema yule nmpa mln 50,mwingine nmempa 100m sjui baba levo nmempa mln 30
Yeye si Ana mti wa pesa sasa Acha watu waone anavyovuna pesa kutoka kwenye mti wake

Ova
 
Kabisa Mkuu ,US hawana mchezo ukikwepa kodi,Hao kina sinza ni Misukule ya Dainamo ,inalipwa inavyomtetea Boss wao humu ,Dainamo anapata pesa lakini alipi kodi kabisa ,TRA wamemminya Makende anaanza kulia lia wakati huku sie Apeche alolo tunalipa kodi..
Shakira tu huko alipo sahv wanambinyaaaa balaaaa

Ova
 
Sio huyu aliyeimba.
Yuleyule baba lao
Makonda baba lao
Akalalamike kwa Makonda. Watu mnaambiwa CCM Ni chama Cha kihuni hamsikii.
CCM mbele kwa mbele. Tena alipe Kodi na tozo huyu mtandale.
Ndo huyuhuyu
 
Nasoma comments,
Wote Wenye roho za kichawi na kimaskini humu jf tutawajua TU kupitia huu Uzi[emoji848]
 
Back
Top Bottom