Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi

Kodi alipe lakini sio kwa uonevu,tatizo hapa Kuna rogue elements ndani ya Tra zinataka kutumia mwanya wa udhaifu uliopo sasa hv nchini,kupiga pesa,nchi sasa hv inajiendea tu,mkurugenzi anajifanyia anavyotaka,waziri anajifanyia anavyotaka,hakuna mawasiliano kati ya mawaziri,PM,makamu na Raisi,huo ni mwanya mzuri wa Kupiga,
 
Mkiambiwa hiyo serikali ni broke na inaelemewa na madeni amuelewi.

Walau zama za Magufuli walikuwa wanafuata sheria kabla ya kufunga account. Unafuatwa, toa ushirikiano, toa vielelezo (yes sheria inataka utunze ushahidi miaka 5) wanakufanyia bank reconciliation, uko poa unaachwa, kuna shida (huna invoices) wanazuia account kwa upelelezi zaidi, uchunguzi ukiisha unapewa new tax bill. Ukubaliani na kodi mnaenda kubishana mahakamani kama ile shule ya Arusha na unashinda kesi if you are innocent.

That’s the law ila wahuni na wakwepa kodi wakapindisha ukweli kwa kumtukuna Magufuli kwa kutumia TRA kupora wafanyabiashara na baadhi ya wakwepa kodi wamekimbilia NEC sasa.

Desperation ya serikali ya sasa ndio wameanza kupora kweli bila ya kuheshimu sheria, account inashikiliwa bila ya mwenyewe kupewa taarifa kwanza si ndio uporaji wenyewe huo; ina maana muhusika ata ujashirikishwa kuelewa wanataka nini ndio kodi inavyodaiwa hivyo au huu ni uporaji.

Na bado akili zitakaa sawa tu, chezea madeni. Ila safari hii wakituletea tozo za ajabu tutawahamishia wao kuelekea Burundi kwa kuanza na Mwigulu.
Hahahahah safari hii haponi mtu, mabilionea wakibongo watakamuka kishenzi
 
Mbona kama kuna harufu ya Kiki.. hii nchi ina maigizo na movie nyingi sana.. wanaunda ka movie ili ionekana wanasikiliza sana View attachment 2463830
Hapo kwny kutunza Siri za walipa Kodi TRA wako sahihi,kwny Taxpayer Charter kwny Right mojawapo ya Taxpayer Ni Privacy and confidentiality kwa taarifa za mteja.
 
Kwani ye si alikuwa kazini? Hajazitaka siasa zao.
Wakimzingua akafungue biashara zake hata Kenya au SA mbona wanamtaka sana tu.

Kugombana na diamond ni kugombana na wapiga kura.
Umeambiwa SA wanataka wakwep Kodi kw mgongo wa ukada?
 
Hizi chuki za nini?washabiki wa ccm ni wengi sana,magumu mnayoyapitia chini ya ccm,hajasababisha Mond,hizi chuki zenu ni kwa sababu Mond ana pesa kuliko Koo zenu zote!!"people fear what they don't understand,hate what they can't conquer""
Mond ana mkwanja mrefu,vijana wasio na pesa wenye maisha magumu Wana chuki sana.
Kaa mkijua,WCB ni zaidi ya Mond!!pale Kuna wafanyakazi wengi wanajipatia kipato,wengine dada zenu,madem wenu,mama zenu,
Acheni chuki!!
Akili kubwa kutoka Kenya,walipoona Mond amefikia kiwango hiki kikubwa,wakaingia nae ubia na kufungua kampuni ya wasafi bet!!wavimba macho wa bongo,wao wanachonga genga tu!!wanasubili Mond afilisike,apotee,awe fukara kama wao,wawe level moja,ndio furaha yao.
Acheni akili za kimaskini!!,wengine tupo tunaomba Dua,wawepo ma diamond mia,Bakhressa mia wengine.
 
Back
Top Bottom