Hizi chuki za nini?washabiki wa ccm ni wengi sana,magumu mnayoyapitia chini ya ccm,hajasababisha Mond,hizi chuki zenu ni kwa sababu Mond ana pesa kuliko Koo zenu zote!!"people fear what they don't understand,hate what they can't conquer""
Mond ana mkwanja mrefu,vijana wasio na pesa wenye maisha magumu Wana chuki sana.
Kaa mkijua,WCB ni zaidi ya Mond!!pale Kuna wafanyakazi wengi wanajipatia kipato,wengine dada zenu,madem wenu,mama zenu,
Acheni chuki!!
Akili kubwa kutoka Kenya,walipoona Mond amefikia kiwango hiki kikubwa,wakaingia nae ubia na kufungua kampuni ya wasafi bet!!wavimba macho wa bongo,wao wanachonga genga tu!!wanasubili Mond afilisike,apotee,awe fukara kama wao,wawe level moja,ndio furaha yao.
Acheni akili za kimaskini!!,wengine tupo tunaomba Dua,wawepo ma diamond mia,Bakhressa mia wengine.