Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Atafikaje ns hiyo timu ya washauri wa uswazi wasiojua lolote kuhusu international exposure? Hata angetulia na yule mwanamke wa kiganda kuna vitu alivyokuwa ana m shape
Wa hapa hapa huyu nyimbo zimejaa matusi tu mwanzo mwisho,yeye ni bingwa wa kunengua sio kuimba,
Yaani umelala na kuamka unamuwaza diamond hadi unaandika makala..daadeki hii ndo Tz
Diamond angekua na ustaarabu angetakiwa amuombe Roma na familia yake msamaha kwa kitendo Cha msanii mwenzake kuwa kwenye mateso huku mke wake akienda hadi mortuary alafu akaamua kutoka nyimbo kwa msisitizo kwamba anakaa kimya kilikuwa sio kitendo Cha ubinadamuAtasema ni haters uone ulimbukeni ulivyo mbaya
Diamond angekua na ustaarabu angetakiwa amuombe Roma na familia yake msamaha kwa kitendo Cha msanii mwenzake kuwa kwenye mateso huku mke wake akienda hadi mortuary alafu akaamua kutoka nyimbo kwa msisitizo kwamba anakaa kimya kilikuwa sio kitendo Cha ubinadamu
Andika business plansKazi yangu kuandika.
Je wewe kazi yako kusoma??
Nyie watu mnamuandama sana huyu kijana, aandamane na fikra zenu. Kwani hajaingia kwenye siasa, si kaingia na kachagua upande anaotaka.
Hata marekani kipindi cha vuguvugu la uchaguzi wasanii wengi walichagua pande zao, weusi wengi walimpinga trump lakini wapo baadhi yao waliomuunga mkono pia, haijarishi ni upande mbaya kwako ama ni mzuri kwa maono yake kaona hivyo.
Jamii imegawanyika mkuu, tukio moja linaweza kuonekana tofauti kwenye macho ya kila mtu eidha kutokana na uelewa au matakwa ya mtu binafsi. Kwahiyo huwezi kuiridhisha jamii yote. Nikupe mfano Ney wa mitego nae anaimbaga sana nyimbo uzipendazo(za kiharakati) angalia mapokeo ya nyimbo izo kwenye jamii, sia ajabu hata wewe huzifatilii na ile ni biashara so inabidi nae amix kidogo apate chochote.
Andika business plans
Aisee . Taikoni wa fasihi? Haya twendeni
Toa na ushauri kwake maana naye hajapataUnamshauri anayekuhusu.
Karibu
Utoto unakuruhusu.Wewe kazi yako ni ushauri nasaha??
Uzi hauendani na uhalisia. Hakuna ujumbe wa kutiliwa maanani hapo.Ukiambiwa ueleze ujumbe wa huu Uzi utaeleza??
Uzi hauendani na uhalisia. Hakuna ujumbe wa kutiliwa maanani hapo.