Diamond Ushakosa Tuzo, Jua Nafasi yako. Achana na Washamba

Mkuu mambo Yakofia yametokea wapi??

Hakuna mahala nimemkataza kuwa na Chama Mkuu.

MANTIKI ya Uzi huu nafikiri hujanielewa.

Na pengine umeniingiza kwenye kundi la washabiki wa Kisiasa na haters wa Diamond
 
Ulimbukeni ndio somo letu.

Lakini pia kupitia ulimbukeni nimeelezea Personal interest na Personal Position ndani ya jamii.

Huo ndio muhtasari wa nilichoandika.

Mengine yote uliyosema ninayaweka kwenye maoni yako.
Karibu
 
Hujajibu nilicho kuuliza!

Nini maana ya ulimbukeni? nini maana ya ushamba?
Ushamba ni kushangaa jambo ambalo wenzako wanaliona ni la kawaida,
so,mtu akinunua simu ya ndoto zake na akafurahi ni kweli anakua mshamba ila akija kuizowea na kuona ni kawaida basi ushamba wake unaishia hapo,kila mtu ni mshamba kwa wakati wake,

Ina maana wewe ukitimiza ndoto zako za kukamilisha jambo fulani hutofurahia kisa usionekane mshamba? epuka uandishi wa kuikashifu jamii iliyokuzunguka kwani hayo maandishi yako walengwa ni hao hao unaowakashifu.
 
nyie wake diamond mna matatizo kweli kweli na bado tutamnyoosha na atanyooka tuuu,
 
Unajua kusoma au unajua kuandika tuu??

Kwenye Uzi, hujasoma maana ya ULIMBUKENI?

Hujasoma baadhi ya Aina za Ulimbukeni nilizoandika?

Kama na wewe unatabia za kishamba ndio uache, sio unapata kigari unaanza kusumbua watu..

Unanunua home theatre unapigia watu kelele.

Acha ushamba,

Utajua mwenyewe ukiona nakukashifu au nawakashifu shauri yako.
 
Nani kakuambia kufurahia mafanikio yako ni Ulimbukeni??

Embu kaa usome vizuri maana ya ULIMBUKENI pale juu maana naona umekurupuka,
Ukisoma Jambo lazima utulize akili na macho Mkuu.

Nikusaidie kunukuu maana ya ULIMBUKENI?? Au unarudia mwenyewe kusoma?
 
Kwa kukusaidia tuu

"Ulimbukeni ni kile kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na maadili yanayomzunguka mtu huyo"
 
Kumbe umeandika kitu ambacho hata wewe mwenyewe hujakielewa!
 
Wewe unataka kuwa chawa pro max hadi unaweka namba ya simu
Acha kujikomba kwa mwanaume mwenzio mavimavi ww
 
Mimi sijakupinga kama mimi bali nimeisemea jamii unayoikashifu kupitia hili bandiko lako la hovyo na lisilo na manufaa kwa jamii,huna lolote la maana uliloliandika hapa kijana,kama na wewe unajiita ni muandishi basi hii ni hasara kubwa kwa jamii.
 
Hiyo jamii unayoisema hapa ndio iache ULIMBUKENI,

Kitu chochote kibaya unataka kirembwe rembwe.

Kitu kibaya siku zote kinakashifiwa.

Vijana wa siku hizi ndio mmezoea mambo ya kipuuzi, ufanye kitu kibaya alafu usikashifiwe, ajabu Sana hii.

Nashukuru Kwa mtazamo wako.
 
Ni mda mrefu nasoma maandishi yako nilikua nakuona mtu wa maana sana na mwenye akili lakini leo nimekuona wa hovyo sana,na unaonekana umejaa chuki ambazo hazina maana
 
Ni mda mrefu nasoma maandishi yako nilikua nakuona mtu wa maana sana na mwenye akili lakini leo nimekuona wa hovyo sana,na unaonekana umejaa chuki ambazo hazina maana

Ni mtazamo wako tuu.

Hata ulivyoniona WA maana haikunifanya niwe WA maana au nisiwe WA maana.

Na hata sasa ni hivyo hivyo.
Unaniona sio wa maana KULINGANA na Uelewa na mtazamo wako.

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…