aliunga mkono na kuimba kibwagizo cha PIGA KURA YA NDIYO KATIBA MPYA si mzalendo.... na kura yangu kwa davido.
katiba mbovu itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo na mond kaishupalia
Hahahahaaa
Ivi hawa vinabo wanaokuja vamia huu uzi wameitwa..??
Tatizo mondi alijiaribia mwenyewe, kwa kuwadharau wanawake, wema sepetu..........unakumbukaga wanawake waishio uk. walchowah kusema kumuhusu d'mondi kpnd kile.?
Hivi population Wanageria wapo million mia ngapi vile?
Mwambieni na Mbowe akatae kabisa kuwahudumia CCM na wasanii wengine wanaoshiriki mikutano ya CCM pale kwenye National Housing kulipo CLUB BILICANAS.Hata show wasiende.Hizo BIASHARA ZOTE ZA MBOWE ZIWE ZINAHUDUMIA WAFUASI WAKE TU .
Brand kubwa sio kitoto....#WCBforLife
timu kibakuli msisogee hapa....hamuwezi kumshusha Diamond mnapoteza muda tu na matendo yenu ya 'aibu' na ya ajabu......#TeamBrandKubwaSioKItoto
Brand ya kiba ni hipi vile???
Tatizo mondi alijiaribia mwenyewe, kwa kuwadharau wanawake, wema sepetu..........unakumbukaga wanawake waishio uk. walchowah kusema kumuhusu d'mondi kpnd kile.?
DOWNLOAD:Kcee - Love Boat ft. Diamond Platnumz http://notjustok.com/2015/06/16/kcee-love-boat-ft-diamond-platnumz/
Huku tukiendelea kuVote kwa mTanzania mwenzetu the Icon tuburudike na hii
Asante nyimbo nzuri nshadownload
Naona wasanii IG wanapiga sana kampeni safi sana inapendeza" vote for Vanessa&Diamond