Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

aliunga mkono na kuimba kibwagizo cha PIGA KURA YA NDIYO KATIBA MPYA si mzalendo.... na kura yangu kwa davido.
katiba mbovu itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo na mond kaishupalia

hakika mkuu watampigia wale waliompa nguo ya kijani kule songea
 
Tatizo mondi alijiaribia mwenyewe, kwa kuwadharau wanawake, wema sepetu..........unakumbukaga wanawake waishio uk. walchowah kusema kumuhusu d'mondi kpnd kile.?

Sema alimdharau lini, wapi na mwanamke akawa bado anatoka nae hadi Oct mwaka jana? Hao hao wanawake wa UK ndio hawakosi shiw zake akiienda na meza za VVIP wananunua. Sema

Diamond hana dharau kabisa bali inabidi wamtungie kwa jinsi alivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni na Mbowe akatae kabisa kuwahudumia CCM na wasanii wengine wanaoshiriki mikutano ya CCM pale kwenye National Housing kulipo CLUB BILICANAS.Hata show wasiende.Hizo BIASHARA ZOTE ZA MBOWE ZIWE ZINAHUDUMIA WAFUASI WAKE TU .

Acha ndoto wewe kumeshakucha
 
Bwana matola...cio uwing wa wa2 was nigeria watabika kura...ngja nikupe kidogo hbari ili ujue....kati ya nchi afrika tz kwnye 3 bora za wa2 kuwepo kwnye social networks ni kubwa
 
timu kibakuli msisogee hapa....hamuwezi kumshusha Diamond mnapoteza muda tu na matendo yenu ya 'aibu' na ya ajabu......#TeamBrandKubwaSioKItoto

Yani daimond ni kama lowasa kwenye mitandao wanawaponda na ni wachache lakini tunaona hali halisi wakienda site mapokezi kama mafuriko hayazuhiliki,kwaio tuachane na hao vibakuri wataishia hapahapa nyumbani kama kapeto.
 
Tatizo mondi alijiaribia mwenyewe, kwa kuwadharau wanawake, wema sepetu..........unakumbukaga wanawake waishio uk. walchowah kusema kumuhusu d'mondi kpnd kile.?

Acheni maneno ya uzushi, maneno ya magazeti ya udaku, unaweza kutuambia aliwadharau lini na wapi? na ulimsikia anavyotamka hayo maneno ya dharau?
 
Last edited by a moderator:
Naona wasanii IG wanapiga sana kampeni safi sana inapendeza" vote for Vanessa&Diamond
 
Naona wasanii IG wanapiga sana kampeni safi sana inapendeza" vote for Vanessa&Diamond

yani sijawahi kuvote ila watz wenye roho za kichawi wanaojifanya kusupport wanigeria wamenipa hasira nimeanza kuvote kwa hasira zote ninnavote hadi kidole kinaomba poo na hivi hawanilimit navote hata Mara Mia 8 per day
 
Back
Top Bottom