Savimbi JB
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 378
- 343
Asante kwa elimu mkuuHaiko hivyo mkuu...
Ukiitazama mara ya kwanza video ya youtube hata urudie mara mia inahesabiwa umeview mara moja tu...
Hiyo ni ndani ya masaa 24..!
Mwisho: Mtu MWEUPE ana AKILI sana mkuu!!!
Muwe mnauliza kwanza basi jmn.Acha uongo basi mheshimiwa,,,,
Sawa mkuu,,,[emoji445] [emoji445] basi chambua kama karanga sasa[emoji445]Muwe mnauliza kwanza basi jmn.
hapana hutakuwa unadanganya ila jukwaa litakuchukulia kama mpuuzi mmoja usiyejua nini unakiongea......Na je nikiliambia jukwaa kuwa hao viewers laki6 ndo haohao hawataongezeka,.... Nitakuwa nadanganya????
Sina swali lingine muheshimiwa....hapana hutakuwa unadanganya ila jukwaa litakuchukulia kama mpuuzi mmoja usiyejua nini unakiongea......
Wanatafuta kiki.....Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
wewe utakuwa mgonjwa uwe unasoma kwanza kabla ya kukomentiNilichogundua Unajitia ujuaji mwingi kumbe bogazi.
Kaangalie my nomber one na Nana ni ipi ina views wengi.
Sio kila uzi utie comment uzi mwingine pita tu,iatasaidia kuficha ukilaza wako na roho mbaya yako na wivu kwa mwanaume mwenzio.
Kwenda Zako hunalolote.wewe utakuwa mgonjwa uwe unasoma kwanza kabla ya kukomenti
njoo leo ulale kwangu basiKwenda Zako hunalolote.
wewe hata mtihani utafeli karudie kusoma nilichoandika mwanzo maana umejibu majibu ya kichwani mwako bila hata kunielewaumemsema mwenzio bila kosa...!!inayoongoza ni number one remix ft davido imetazamwa mara 16,717,013
Wazo lako ni la maana sana,lakini TATIZO WATU WANATAKA WAMSHUSHE HUYU NDIO APATIKANE MWENGINE,KITU AMBACHO WENGINE HATUTAKI KITOKEE KAMA VIPI ABAKI HUYOHUYO AENDELEE KUWABULUZA MAANA AKILI HAWANA.Ivi kwann tz tusitengeneze wakina diamond wengi,ili tupat ushindani mzuri,...maana kina ngoma akitoa ni habri hapa town...yani mshkaj anajua mpk unahisi tz hamna wasanii wengne..duh!
napata tabu kujua wewe na nani haswa na unatoka nchi gani,umesema nana ndo imetazamwa zaidi...ukaambiwa sio hiyo ni number one na mimi nakwambia hivyo bado unasema sina akili....mungu anakuona!!!wewe hata mtihani utafeli karudie kusoma nilichoandika mwanzo maana umejibu majibu ya kichwani mwako bila hata kunielewa
Wasanii wa nje huwa wanalipwa on YouTube ila kwa tz sijui. Kukiwa na view nyingi