umeshadanganya watuNa je nikiliambia jukwaa kuwa hao viewers laki6 ndo haohao hawataongezeka,.... Nitakuwa nadanganya????
na hizo nyimbo za usa zenye views 900m?? wote hao hawana kaz?Je kwa hela nani anamzidi mwenzake kwa hela labda
Diamond ataongoza sababu Watanzania wengi hawana kazi zaidi ya kupita Youtube
Miezi 9 ana 4.5m huyo wa siku mbili ana 1.2m akifika octoba atafikisha 10mMpaka sasa ni 4.5M
View attachment 405284
Na Mimi pia naitaji kujua JamaniHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
mkuu naomba unifahamishe kivipi ukiweka kitu you tube unalipwa unalipwaje lipwaje na hizo fedha wanakutumia kwa njia gani?? au kuna namna ya kujisajili?Youtube inalipa, watanzania hamjui tu, ndio maana wachache wanafanya ila ni kazi nzuri kabisa.
Kama hapo jamaa kwa 1Million views anakusanya sio chini ya 2Million, kama clicks ni nyingi anapiga hata 4Million. Na wajanja kama Millard Ayo wanaweka na matangazo kama ya Vodacom, hao wanapiga hadi 40Million kila mwezi. Wanasema ujinga ni umasikini, watu ambao hawana kazi lakini wana simu na uwezo wa kuongea sijui kwa nini hawajaanza kitu kama hiki.
mkuu naomba unifahamishe kivipi ukiweka kitu you tube unalipwa unalipwaje lipwaje na hizo fedha wanakutumia kwa njia gani?? au kuna namna ya kujisajili?
thank uuuuu[emoji7]Ooh nyc comment..hii ndio comment ya mtu anaejua music sasa.
Ambao hauna viewer wengi ni upi na una wangap? Nana una ngap? teh teh tehwimbo wa mwisho wa diamond kuwa na viwer weni ni nana aliomshirikisha mr flavour
thank uuuuu[emoji7]
wimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
Kk heb naomba nielekeze tafadhal km vp njoo PM au ht whatsapp, ni mtundu wa cm na naskia tuu you tube kunalipa ila cjajua kutumia ni vpYoutube kuna kitu kinaitwa monetization, kama umejaribu kucreate channel kwenye youtube utaona kuna sehemu imeandikwa monetization kwenye account, pale una-register alafu unaweka matangazo kwenye video yako. Pesa ikifika $100+ kila tarehe 21 wanaituma kwenye account yako ya benki au kukupa cheki.
Mimi personally sijalipwa kupitia Youtube videos ila kampuni ni hiyohiyo Google na account ni ileile wananilipa kwa matangazo niliyoweka kwenye Android apps, kila mwezi pesa inaingia kwenye account yangu naenda kutoa. Hizo Youtube estimates nimetoa kwa sababu nafahamiana na watu wanaofanya Youtube videos, na kwa kua najua apps zinalipa kiasi gani kwa kila 1000 views, videos zinalipa juu zaidi.
Uwe na account official uko YouTube ambayo na wenyewe wataitumia kuweka matangazo yao so kadri view zinavoongezeka ndo na mkwanja unaingiamkuu naomba unifahamishe kivipi ukiweka kitu you tube unalipwa unalipwaje lipwaje na hizo fedha wanakutumia kwa njia gani?? au kuna namna ya kujisajili?
Kila ukiingia inahesabu upya acha uongo kama ulikua hauijui ujue leo.Ata ukiangalia Mara buku view zinahesabika Mara moja tu
Swali zuri sana, ila mwenyewe unaweza kujijibu kama ukifikiria vizuri.Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Kama unajua English soma hii article sio unaongea Kitu ambacho hata hukijui.Haiko hivyo mkuu...
Ukiitazama mara ya kwanza video ya youtube hata urudie mara mia inahesabiwa umeview mara moja tu...
Hiyo ni ndani ya masaa 24..!
Mwisho: Mtu MWEUPE ana AKILI sana mkuu!!!
Umshukuru kwa kukujaza ujinga.Asante kwa elimu mkuu
It was greek to me,,,,ila hata wewe hutakiwi kuaminika saaanaUmshukuru kwa kukujaza ujinga.
So one personviewing the same video repeatedly would only generate 3 to 5 views a day, after views cross 300.
Siitaji imani yako amini unachotaka wewe lakini usidanganye watu.It was greek to me,,,,ila hata wewe hutakiwi kuaminika saaana
Kwahiyo hii article yako ndio yakuaminika sio..!?Kama unajua English soma hii article sio unaongea Kitu ambacho hata hukijui.
Counting Views:
When a video is uploaded, it is cached in the different YouTube servers spread around the globe. This is done, of course, for faster response times. Every time a request is made for a video, the closest server provides the video and increments the count in its local log. These logs are then collated at fixed times and a central log is then updated.
The 301 freeze: When a video has less than 300 views, the views are not verified. However, when views cross 300, YouTube starts verifying them to make sure that they are legitimate payback requests and not "fake" views. So you would often find that the count of a video gets stuck for a few hours or a day at 301 (sometimes 302 or 305 or 308 if multiple logs sync with the centralized server at the same instant). From this point onwards, view counts increase in batches - after every batch of new views are verified by YouTube.
An interesting technical tidbit is that when the number 300 was decided by the designers, the programmer made the elementary careless mistake of using the age old ViewCount <= 300 instead of the ViewCount < 300 in their logic.
Calculating a view:
Coming to the specifics of the question, what constitutes a view? View is a video playback that was requested by an actual user. YouTube has been extremely tight lipped about this because giving away details of even the minutest of mechanisms will cause people to "hack" the system and artificially inflate views.
However, we can make some guesses by observation. We know that fake views include misleading views - misleading titles and thumbnails that attract views. When a video has a large number of views that last for mere seconds after clicking, the views are not counted as legitimate. So if a video is viewed in its entirety by someone who clicked on it, it is counted as one view. But not all views are fully played.
Google Ad Sense works only with videos that are over 30 seconds in length so that the click through rates get registered. In fact, some videos are lucky enough to have just ten seconds of play considered as a view. We can conclude from this that the amount of video played should be above a threshold percentage of the length of the video. The type and genre of video could also be a factor. YouTube also considers views from the same IP in breaks of 6 to 8 hours. So one personviewing the same video repeatedly would only generate 3 to 5 views a day, after views cross 300. A viewer being redirected to YouTube upon clicking an embedded video counts as one view. If there is an embedded video with autoplay, it is not counted as a view. I'm quite sure there are many more restrictions and rules that go into categorizing a request as a view that we might not be aware of.
In conclusion, a view is a unique, user-initiated play of a certain secret percentage of a video that is played only by YouTube's hosting.
215.4k Views · View Upvotes
Share
MORE ANSWERS BELOW. RELATED QUESTIONS
- 519 Views
- What technically counts as a view on YouTube?
7,841 Views
- What is black hat view count building technique for youtube?
2,943 Views
- What does YouTube consider a "view"?
7,090 Views
- What is your review of YouTube Views?
706 Views
- Do the views on YouTube mean unique views or just views in total?
1,530 Views
- Why are view counts inconsistent on YouTube?
931 Views
- How do YouTube views get counted?
5,832 View
s
- Does YouTube count views from Quora?
- 627 Views
- Why can't I view YouTube videos
88 Views
- How do people get millions of views on YouTube?
3,354 Views
- How does YouTube update their video view counts?
21,933 Views
- Does getting millions of views on YouTube lead to success?
1,534 Views
- What percentage of people viewing YouTube videos on YouTube.com are logged into the service?
2,578 Views