Diamond Vs P square Youtube

Diamond Vs P square Youtube

Je kwa hela nani anamzidi mwenzake kwa hela labda
Diamond ataongoza sababu Watanzania wengi hawana kazi zaidi ya kupita Youtube
na hizo nyimbo za usa zenye views 900m?? wote hao hawana kaz?
 
Youtube inalipa, watanzania hamjui tu, ndio maana wachache wanafanya ila ni kazi nzuri kabisa.
Kama hapo jamaa kwa 1Million views anakusanya sio chini ya 2Million, kama clicks ni nyingi anapiga hata 4Million. Na wajanja kama Millard Ayo wanaweka na matangazo kama ya Vodacom, hao wanapiga hadi 40Million kila mwezi. Wanasema ujinga ni umasikini, watu ambao hawana kazi lakini wana simu na uwezo wa kuongea sijui kwa nini hawajaanza kitu kama hiki.
mkuu naomba unifahamishe kivipi ukiweka kitu you tube unalipwa unalipwaje lipwaje na hizo fedha wanakutumia kwa njia gani?? au kuna namna ya kujisajili?
 
Youtube kuna kitu kinaitwa monetization, kama umejaribu kucreate channel kwenye youtube utaona kuna sehemu imeandikwa monetization kwenye account, pale una-register alafu unaweka matangazo kwenye video yako. Pesa ikifika $100+ kila tarehe 21 wanaituma kwenye account yako ya benki au kukupa cheki.

Mimi personally sijalipwa kupitia Youtube videos ila kampuni ni hiyohiyo Google na account ni ileile wananilipa kwa matangazo niliyoweka kwenye Android apps, kila mwezi pesa inaingia kwenye account yangu naenda kutoa. Hizo Youtube estimates nimetoa kwa sababu nafahamiana na watu wanaofanya Youtube videos, na kwa kua najua apps zinalipa kiasi gani kwa kila 1000 views, videos zinalipa juu zaidi.
 
Ni mradi ndiomana diamond anatajirika angalia Salome ya 1 week ago. Ina view karibia 3 million bado kidogo imfikie aje ya Ali kiba yenye miezi 6
 
wimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu

Hacha uchochezi katika muziki we jamaa....wimbo mbovu alafu upigwe kivipi....unajua maana ya msanii kuchuja ata kama atakuwa na jina kubwa?
 
Youtube kuna kitu kinaitwa monetization, kama umejaribu kucreate channel kwenye youtube utaona kuna sehemu imeandikwa monetization kwenye account, pale una-register alafu unaweka matangazo kwenye video yako. Pesa ikifika $100+ kila tarehe 21 wanaituma kwenye account yako ya benki au kukupa cheki.

Mimi personally sijalipwa kupitia Youtube videos ila kampuni ni hiyohiyo Google na account ni ileile wananilipa kwa matangazo niliyoweka kwenye Android apps, kila mwezi pesa inaingia kwenye account yangu naenda kutoa. Hizo Youtube estimates nimetoa kwa sababu nafahamiana na watu wanaofanya Youtube videos, na kwa kua najua apps zinalipa kiasi gani kwa kila 1000 views, videos zinalipa juu zaidi.
Kk heb naomba nielekeze tafadhal km vp njoo PM au ht whatsapp, ni mtundu wa cm na naskia tuu you tube kunalipa ila cjajua kutumia ni vp
+255712736005 kwa whatsapp
+255757164037 kwa call kawaida
 
mkuu naomba unifahamishe kivipi ukiweka kitu you tube unalipwa unalipwaje lipwaje na hizo fedha wanakutumia kwa njia gani?? au kuna namna ya kujisajili?
Uwe na account official uko YouTube ambayo na wenyewe wataitumia kuweka matangazo yao so kadri view zinavoongezeka ndo na mkwanja unaingia
 
Haiko hivyo mkuu...
Ukiitazama mara ya kwanza video ya youtube hata urudie mara mia inahesabiwa umeview mara moja tu...
Hiyo ni ndani ya masaa 24..!
Mwisho: Mtu MWEUPE ana AKILI sana mkuu!!!
Kama unajua English soma hii article sio unaongea Kitu ambacho hata hukijui.

Counting Views:
When a video is uploaded, it is cached in the different YouTube servers spread around the globe. This is done, of course, for faster response times. Every time a request is made for a video, the closest server provides the video and increments the count in its local log. These logs are then collated at fixed times and a central log is then updated.

The 301 freeze: When a video has less than 300 views, the views are not verified. However, when views cross 300, YouTube starts verifying them to make sure that they are legitimate payback requests and not "fake" views. So you would often find that the count of a video gets stuck for a few hours or a day at 301 (sometimes 302 or 305 or 308 if multiple logs sync with the centralized server at the same instant). From this point onwards, view counts increase in batches - after every batch of new views are verified by YouTube.

An interesting technical tidbit is that when the number 300 was decided by the designers, the programmer made the elementary careless mistake of using the age old ViewCount <= 300 instead of the ViewCount < 300 in their logic.

Calculating a view:
Coming to the specifics of the question, what constitutes a view? View is a video playback that was requested by an actual user. YouTube has been extremely tight lipped about this because giving away details of even the minutest of mechanisms will cause people to "hack" the system and artificially inflate views.

However, we can make some guesses by observation. We know that fake views include misleading views - misleading titles and thumbnails that attract views. When a video has a large number of views that last for mere seconds after clicking, the views are not counted as legitimate. So if a video is viewed in its entirety by someone who clicked on it, it is counted as one view. But not all views are fully played.
Google Ad Sense works only with videos that are over 30 seconds in length so that the click through rates get registered. In fact, some videos are lucky enough to have just ten seconds of play considered as a view. We can conclude from this that the amount of video played should be above a threshold percentage of the length of the video. The type and genre of video could also be a factor. YouTube also considers views from the same IP in breaks of 6 to 8 hours. So one personviewing the same video repeatedly would only generate 3 to 5 views a day, after views cross 300. A viewer being redirected to YouTube upon clicking an embedded video counts as one view. If there is an embedded video with autoplay, it is not counted as a view. I'm quite sure there are many more restrictions and rules that go into categorizing a request as a view that we might not be aware of.

In conclusion, a view is a unique, user-initiated play of a certain secret percentage of a video that is played only by YouTube's hosting.
215.4k Views · View Upvotes
Share
MORE ANSWERS BELOW. RELATED QUESTIONS
 
Umshukuru kwa kukujaza ujinga.

So one personviewing the same video repeatedly would only generate 3 to 5 views a day, after views cross 300.
It was greek to me,,,,ila hata wewe hutakiwi kuaminika saaana
 
Kwahiyo hii article yako ndio yakuaminika sio..!?
Acha ujinga..!
 
Back
Top Bottom