princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Alikuja akakubali na kuliweka wazi hilo kwenye Leo tena pale Mawingu FMMbona na yeye alichepuka mpaka na kuzaa nje? Aliwahi kuhojiwa alikanusha kuwa hakuwa na mahusiano na hamisa. Wote hamkutulia mnaishia kulaumiana tu
Umeona hiyo midole ya king Bae[emoji1]

At least ana uturi wa pesa,wewe je?Na shombo lako la samaki wa feri tusemeje?
Alikubali? Diamond alishinikizwa baada ya picha za kitandani Hamisa kuvujishaAlikuja akakubali na kuliweka wazi hilo kwenye Leo tena pale Mawingu FM
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili
Unaposema hao wanawake ni Mal.aya sio Diamond utamuitaje
Picha iliyozua mambo bwahahahahahahahaaaView attachment 1079678
Mahaba tu.. Moyo ukipenda chongo huona kengeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
Nakubaliana na wwHaiwezekani wanawake wote ndo chanzo yeye msafi
Ndo nani peter au??
Angekuwa Hana pesa asingeishi maisha Yale wale watoto wakubwa wanasoma moja ya shule ghali south Africa.U dont even knw me n bado unaongea uharo duuu
Anyway ulinitukana inabadilisha hali halisi ya kwamba zarkna hana.pesa??
Umeona hiyo midole ya king Bae[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona umejibu kiungwana hivo au kiba hundredKila funguo ina saizi ya tundu lake. Funguo ikiwa kubwa kuliko tundu haitaingia, inaweza hata vunjika. Wewe kama mlango wako una tundu kubwa usifikiri hiyo ni kwa kila mwanamke. Wengine wako kawaida na wanahitaji watu wa kawaida. Usi-generalize, mama. Kama ulivyosema maumbile ni tofauti kwa wanaume na wanawake.
Angekuwa Hana pesa asingeishi maisha Yale wale watoto wakubwa wanasoma moja ya shule ghali south Africa.
Anaweza kweli asiwe tajiri lakini sio maskini anajimudu vizuri na maisha ya luxury
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa alikosa points hapo hapo anasema alikuwa wife material wake
Tangu lini mtu anaekucheat akawa hivo
Hawa ndio mondi anadai zari ame cheat nao [emoji85]View attachment 1079683
Angekuwa Hana pesa asingeishi maisha Yale wale watoto wakubwa wanasoma moja ya shule ghali south Africa.
Anaweza kweli asiwe tajiri lakini sio maskini anajimudu vizuri na maisha ya luxury
Kweli kabisaMungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili
Unaposema hao wanawake ni Mal.aya sio Diamond utamuitaje