princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Alikuja akakubali na kuliweka wazi hilo kwenye Leo tena pale Mawingu FMMbona na yeye alichepuka mpaka na kuzaa nje? Aliwahi kuhojiwa alikanusha kuwa hakuwa na mahusiano na hamisa. Wote hamkutulia mnaishia kulaumiana tu