The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Kwa hiyo Peter Okoye alisha mgegeda Zari, kweli huyo mwanamke ana pepo la kugegedwa gegedwaAmesema Diamond kwenye kipindi cha Block 89 wasafi Fm.View attachment 1079519View attachment 1079521View attachment 1079522
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona umejibu kiungwana hivo au kiba hundred
Yani hapo ukiweka na sura ya mondi unaweza sema zari alikua anacheat na mondi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wote wazuri. Hapo domo kabakiza tu kumkana Nillan cant wait hio siku
Hapa walikutana pipa na mfuniko, nashangaa kwanini wanalaumiana.Mahaba tu.. Moyo ukipenda chongo huona kengeza
Anatatizo la malezi aisee yaani haiwekani ukawa Malaya alafu unalalamika kuchitiwa
Kila funguo ina saizi ya tundu lake. Funguo ikiwa kubwa kuliko tundu haitaingia, inaweza hata vunjika. Wewe kama mlango wako una tundu kubwa usifikiri hiyo ni kwa kila mwanamke. Tafuta funguo kubwa. Wengine wako kawaida na wanahitaji watu wa kawaida. Usi-generalize, mama. Kama ulivyosema maumbile ni tofauti kwa wanaume na wanawake pia.
Diamond anachoumia kimoja tu. Alijua Zari atamng'ang'ania kama ile misukule yake mingine.Hapa walikutana pipa na mfuniko, nashangaa kwanini wanalaumiana.
Yani hapo ukiweka na sura ya mondi unaweza sema zari alikua anacheat na mondi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani kwa kupenda kuongelewa hakawii kusema hivyo.
Sina chuki na mtu yeyote, ila ninachosema ni kwamba jamaa ni MALAYA ALIYEKUBUHU anayePRETEND Victim kila wakati.duh brother kwani una chuki na mshkaji?
Ujana bana, Ila bi tukinao ujana alishaumaliza sasa alikuwa anahangaika nn wakati wa kupiga miti alikuwa nae
Yes Zari anakiburi kwa Diamond kwasababu pesa ya kuwamudu watoto wake anayoBoss tagozo jnadanganya na social media ungemjua zarina usingekua unaongea haya
But anyway nadha ni busara kukuacha uamini unachoamini
Na pia nakubaliana na statement yako hapo chini kwamba anaweza asiwe tajiri but kauwezo fulani anako that correct mkuu
Zari ni mdangaji kama wadangaji wengine the only diffference is amejiwekea class yake sababu ana ka exposure fulani so hata udangaji wake hadangi tu na kila mtu ndo maana hata kashfa zake ni za watu fulano hv
Hii ishu aliyofanya kwa diamond kutembea hadi na trainer sijui au wakina katunzi ka hujuo sio mara ya kwanza hata wakat yupo na ivan wakina lawrance wamegknga sana but mwisho wa siku ni binadamu pia so tusimhukumu diamond nae utoto mwingi na kiki zinampeleka so mi am not suprised at all n thsi gonna cost him
Maana zari ana mabwana au marafili a bit powerful
Huyu mwenyewe wa sasa hivi alikua mwanamke wa Salaam na Diamond hawezi kumuoa kamwe.Kweli kabisa
"
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili"
na ndio maana Zari alimpata malaya mwenzake Mondi na sasa hivi na date na malaya mwengine ambaye anasuuza rungu na mda si mrefu watapigana chini sababu wote malaya ,hata huyu demu anayedate naye Mondi sasa hivi sizani kama kuna future.Nakumbuka nilishawahi kubishana na wewe kuhusu Mondi ,na ninakuambia Mondi atakuja kuoa mwanamke ambaye hamta mtarajia kabisa.Alafu mi si shangai Mondi kudate na wanawake wengi Bob Marley pamoja na IQ kubwa aliyokuwa nayo lakini anakopi kibao kutoka kwa wanawake mbalimbali.
View attachment 1079685
Asante kwa kunielewesha.Nilisikia Avan hakumuoa Zari je ni kweli?Uislamu wa zari upo kwa ndugu zake tu,alibadili dini kipindi akiwa na ivan
Hao wote wazuri kumzidi Domo. Peter mpaka na hela kamzidi kwanini Domo asiumie.Hawa ndio mondi anadai zari ame cheat nao [emoji85]View attachment 1079683
Kuna mwanaume asiyependa kukojoa?
Tanasha ana mimba?Huyu mwenyewe wa sasa hivi alikua mwanamke wa Salaam na Diamond hawezi kumuoa kamwe.
Mjinga na yeye kaamua kuwa baby mama namba 3. She's 4 month pregnant.
Habari ndo hiyo. Labda akaitoe. Huoni na sura imemvimbaTanasha ana mimba?
Personally kwa kiasi nachomjua zarina sidhan kama ana hyo hela ya kuwatunza hao watotoYes Zari anakiburi kwa Diamond kwasababu pesa ya kuwamudu watoto wake anayo
Kinachomponza Diamond kuamini utajiri wake utamfanya Zari awe mnyonge Sasa imekuwa kinyume ndo maana unaona Diamond kakereka na Ego flani ya kijiona mwamba.
Waganda Ni Kama Wahaya hawapendi kujishusha ndo maana unaona hivo
Nashangaa watu wanavyo toleana povu hali ya kuwa malaya wawili walianziasha mahusiano. Zari alikuwa anavizia Diamond awe Tanzania achepuke vile vile Domo nae akiwa TZ bila kuwepo Zari anachepuka.