Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Kila mtu anamuongelea yeye. Ndicho alichokitaka.
Wakati mwingine mambo huwa yana backfire.

Siyo kila wakati unaumiza hisia za watu ili upate faida, ni ushetani mkubwa sana.

Mwishowe yatatakuta makubwa.
 
Ua jeusi ndio kitu gani?
 
Twende na kurudi nyuma jamaa anashindwa vipi kwenda south kuona watoto? Yule mtoto wa kike alikuwa anampenda sana babaake. Uwezo anao angeenda.
Usichukulue rahisi!...kuona watoto kwenye nyumba ya mke uliyemuacha ni kazi ngumu kuliko kubeba roli la mchanga mgongoni
 
The price of fame....
 
Zari una mapesa,deal na diamond properly..iwe fundisho kwa wote wanaochafua image za ma ex wao...LOLS.

kama ana kosa kisheria mpeleke mahakamani wala usimtusi humu mtandaoni,utajidhalilisha tu lol
Hii hadithi yako ina fundisho gani??
 
Kama aliweza kumkana mwanae mchana kweupe atashindwa kutunga story Kama hii.. ..diamond ni mshenz Sana kwenye mahusiano halafu ndio wa Kwanza ku play victim card
Nyie watu sijui akili zenu huwa mnazipeleka wapi, hivi hili nalo linahitaji PhD kujua ukweli? ushamsikia wapi Diamond akililia au kuonesha tu kuguswa na kuachana na Zari? Zari kila kukicha ilikuwa ni madongo na vijembe kwa Diamond na hii inaonesha nani aloachwa, Diamond ni binadamu kachoka kuvumilia upuuzi huo kaamua kuanika ukweli.
 
Leo diamond kajua kunipa rahaaa,sijui team zari wanaharishaje leoo,,na zari endelea kiherehere cha kumjibu dai soon atauamwaga ya kuhusu nillan si unaona anaongelea tifa tu,ulimcheka hamissa leo wapii tumejua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…