Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Shida yenu wanawake mnataka mcheat peke yenu na mwanaume akijibu kakuzalilisha unakuta ninyi ndio waanzilishi wakubwa na diamond alitoka na hamisa baada ya zari kutoka peter yeye zari akaumia zaidi kwa sababu ana moyo peke yake
MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy card..hovyoooooo
 
Naona kama Diamond ameongea zaidi, kama kulikuw na ulazima angesema tu Zari alikuw ana mcheat pia na alijua, Sasa kutaja tena watu wengine huko sio kitu poa, Nmeona picha pia kakutanishwa na mzee Abdul mlio na Tv mtujuze yaliyojiri tafadhali
 
Shida yenu wanawake mnataka mcheat peke yenu na mwanaume akijibu kakuzalilisha unakuta ninyi ndio waanzilishi wakubwa na diamond alitoka na hamisa baada ya zari kutoka peter yeye zari akaumia zaidi kwa sababu ana moyo peke yake

NO,hamtuelewi, tukipata mwanaume anafanya mizinguo..na sisi.. tunazingukia humo humo..LOL
 
Kama anazingua atafanyaje asa mtu anapigiwa simu aongee na wanae anagoma kupokea atafanya nini mkuu hivi wanawake huwajui au wewe hujazalisha nje ya ndoa?
Twende na kurudi nyuma jamaa anashindwa vipi kwenda south kuona watoto? Yule mtoto wa kike alikuwa anampenda sana babaake. Uwezo anao angeenda.
 
Kama anazingua atafanyaje asa mtu anapigiwa simu aongee na wanae anagoma kupokea atafanya nini mkuu hivi wanawake huwajui au wewe hujazalisha nje ya ndoa?

he!,kumbe una mtoto nje ya ndoa….sasa nimeanza kukuelewa mkuu..lol
 
Duuh kama Diamond weli kaongea hivi-watoto na nyumba ndio imetoka
 
Kaulizwa maswali na Aaliyah na Jonijoo ulitaka ajibu nini angalia vitu anavyopost sasa hivi Zari kachanganyikiwa anajibu mapigo
Hapo ndipo nilipo amini yale mawe yamemtwanga vizuri Zari analia lia tu hadi kamtaja mama ake rest her soul in peace you know mama raised me better than that....anaruka ruka tu hahahahahaaa....
 
Back
Top Bottom