Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

ukifuatlia series ya maisha ya huyo dogo wenu......kuna uwezekano wa yeye kuwa mwongo zaidi ya zari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
56800927_143336136719772_6866697284335925670_n.jpg
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
Sahihi kabisaa!!!
 
Da mange huaga nakupendaga unajua kumsuuza huyu kahaba mzeee....!!mtu mzima unadhidhirisha uzinzi mbele ya watoto wako yaani ile haya Mungu kashaondoa tayari ...
Watu wanaona kuzini sifaa!!!chaaaaa!!!!View attachment 1082090
Screenshot_20190426-225736.jpeg
Screenshot_20190426-225746.jpeg
Screenshot_20190426-225751.jpeg
IMG_20190426_225811_090.JPG
 
Attachments

  • IMG_20190426_225811_090.JPG
    IMG_20190426_225811_090.JPG
    50.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20190426-225751.jpeg
    Screenshot_20190426-225751.jpeg
    56.7 KB · Views: 12
  • IMG_20190426_225811_090.JPG
    IMG_20190426_225811_090.JPG
    50.2 KB · Views: 12
  • IMG_20190426_225811_090.JPG
    IMG_20190426_225811_090.JPG
    50.2 KB · Views: 12
Da mange huaga nakupendaga unajua kumsuuza huyu kahaba mzeee....!!mtu mzima unadhidhirisha uzinzi mbele ya watoto wako yaani ile haya Mungu kashaondoa tayari ...
Watu wanaona kuzini sifaa!!!chaaaaa!!!!View attachment 1082090View attachment 1082092View attachment 1082098View attachment 1082099View attachment 1082102
Sasa Mange si Bora akae kimya maana kuanzia Le Mutuz Hadi Tanzania nzima wanajua wanajua alipata laana baada ya kulala na Nani yake ( RIP).
Katika watu wote Mange alipaswa kuwa wa mwisho kuongea
 
Sasa Mange si Bora akae kimya maana kuanzia Le Mutuz Hadi Tanzania nzima wanajua wanajua alipata laana baada ya kulala na Nani yake ( RIP).
Katika watu wote Mange alipaswa kuwa wa mwisho kuongea
We nawe nshakuambia jifunze kubalansi shobooo!!!!

Mtoto wa kiume unakua mbea mbea..hivi Dada yako akifanya ujinga huu utamsapoti?nna hakika haujazidi miaka 20 weye kama hauna 15 basi 19

Kwa heriiiiii
 
We nawe nshakuambia jifunze kubalansi shobooo!!!!

Mtoto wa kiume unakua mbea mbea..hivi Dada yako akifanya ujinga huu utamsapoti?nna hakika haujazidi miaka 20 weye kama hauna 15 basi 19

Kwa heriiiiii
Umekosa points umekimbilia huko?
Kama hutaki mtazamo opposite na wewe usicomment humu kausha.

Acheni Tabia ya kupangiwa watu maisha
As long as yeye ndo maisha yake na yanampa furaha huna sababu ya kumuona anakosea.
 
Wewe unaemkosoa diamond?unatenda haki?
Umekosa points umekimbilia huko?
Kama hutaki mtazamo opposite na wewe usicomment humu kausha.

Acheni Tabia ya kupangiwa watu maisha
As long as yeye ndo maisha yake na yanampa furaha huna sababu ya kumuona anakosea.
Tutaongea kwa sababu ni masupastaa!na sijakimbilia huko ila nimekuongela hvyo kwa kua umeniingiza na Mimi!badala ya kuwatazama hao wawili!

So kama ulitaka kubalansi hukupaswa kukashifu watanzania wakati wanaoongelewa ni maarufu!
Mnapenda mnaowapenda wasisifie wasisemwe hata wakifanya upuuzi

Zari ni kahaba kama wengine that's it!!!diamond namsifu kavumilia!haijalishi ni mzuri au sijui classic haibadilishi ukweli kua ni mdangaji kama wengine!
 
Zari ametuweka akina dada wa Tanzania in our place-we have never seen anything like this-tumeshazoea kuishi like nobodies ili muradi wardrobe ina nguo za kubadilisha.Zari amefika another level kiasi kwamba hatuamini tunachoona-ninaamini one of these days tutakuwa na socialite kama Zari ili tupunguze kushangaashangaa otherwise we will always be the laughing stock
 
Wewe unaemkosoa diamond?unatenda haki?Tutaongea kwa sababu ni masupastaa!na sijakimbilia huko ila nimekuongela hvyo kwa kua umeniingiza na Mimi!badala ya kuwatazama hao wawili!

So kama ulitaka kubalansi hukupaswa kukashifu watanzania wakati wanaoongelewa ni maarufu!
Mnapenda mnaowapenda wasisifie wasisemwe hata wakifanya upuuzi

Zari ni kahaba kama wengine that's it!!!diamond namsifu kavumilia!haijalishi ni mzuri au sijui classic haibadilishi ukweli kua ni mdangaji kama wengine!
Unamtetea Diamond kwasababu Ni mtanzania mwenzio au kwasababu humpendi Zari?
Diamond kavumilia? Huyu huyu aliekuwa anapeleka mwanamke kwenye kitanda alichokuwa analala na Zari?
Huyu huyu aliekana kuanzia mimba Hadi mtoto wake kisa anamuogopa Zari asimuache?
Huyu huyu alisamehewa na Zari baada ya kukiri mtoto wa Hamisa Ni wake?

Usiruhusu chuki zikakufanya ukawa blind na kujaji vitu fair

Zari anamapungufu yake Sawa lakini kwa hili hata kipofu anaona Nani alikuwa na mapungufu zaidi

Yeye mwenyewe diamond kwa kinywa chake Mara kibao amekuwa akikiri alivyokuwa hajatulia kutokana na umbali wa mahusiano Yao

Unamuhukumu Zari kahaba na diamond utampa jina gani ukijumlisha wanawake alikuwa nao wakati yupo na Zari? Kuanzai Hamisa,kimnana,sheyboo, wale wahindi alikuwa anafanya nao threesome Hadi anawapost Instagram?
 
Back
Top Bottom