Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Nmekwambia unasumbuliwa na wivu basi
 
Diarra anapata timu ligi za Denmark, Sweden, Switzerland, Portugal, etc
Ngoja msimu ujao tuone ataibukia timu ipi katika hizo nchi nafikiri hata yeye anatamani kucheza huko
 
Nmekwambia unasumbuliwa na wivu basi
Massip anacheza La Liga ipi mkuu? Na akiwa na timu gani
Massip ninafaham anacheza Real Valladolid ikiwa ni Segunda division sio La liga hiyo timu ilishashuka daraja na pia huyo Jordi wakati yupo Laliga alikuwa akiruhusu 40+ per season ndio unataka na timu nyingne zilete kipa wa aina hiyo tena toka Africa?
Si bora huyo Jordi yupo nyumbani kwao Spain japo hachezi premier
 
Punguza roho mbaya lofa we
 
Acha kujificha kwa Cassilas nmekupa mifano ws makipa watatu Bartez, Jordi Masip tena yeye ana 179cm same to Tobias Sippel mmoja yupo Spain Laliga mwingine yupo Bundesliga
Mkuu acha kujitoa ufahamu huyo Jordi Massip hachezi La liga yupo Segunda Division
Na huyo Tobias Sippel unayemtaja wa Borussia Monchengladbach mbona ana heights safi tu tena kamzidi hata Cassilas, Sippel ana 1.83m hiyo sio height mbaya kwa kipa though kwa Bundesliga nzima yeye ndio kipa mfupi zaidi sasa jiulize mtu mwenye 1.83m ndio golikipa mfupi zaidi kwenye ligi then unataka walete kituko cha 1.79m kucheza ligi yao hivi unaelewa ugumu wa unachokiongelea ?
 
Hujui unacho kiongea kwa hio timu zinazofungwa magoli mengi zin makipa wafupi? unajua sababu ya Villadolid kushuka daraja au unaongea kujaza sever?
 
Hujui unacho kiongea kwa hio timu zinazofungwa magoli mengi zin makipa wafupi? unajua sababu ya Villadolid kushuka daraja au unaongea kujaza sever?
Nimekwambia utaje makipa wenye kimo sawa na Diarra wanaocheza ulaya unanitajia makipa wanaocheza ligi daraja la pili na wengne unawataja wamemzidi kabisa Diarra kimo unawataja hivi ni kwamba umekosa kabisa hadi uokoteze majina?
 
Borussia M'gladbach inacheza daraja la pili? nyie ndio mtaji wa Mangungu umesema Villadolid ilishuka sababu ya kipa mfupi Shiffed utd msimu wa 20/21 ilifungwa goli 63 kwenye ligi kipa akiwa Aaron Ramsadale (191cm) ni kwamba huna akili
 
Labda niku wewe una akili kuliko kocha wa Mali maana pale bench kuna kipa anacheza Sweden urefu wake ni 1.94m aka amua kuanza na Diara ?au AFCON wanacheza watu wafupi?
 
Borussia M'gladbach inacheza daraja la pili? nyie ndio mtaji wa Mangungu umesema Villadolid ilishuka sababu ya kipa mfupi Shiffed utd msimu wa 20/21 ilifungwa goli 63 kwenye ligi kipa akiwa Aaron Ramsadale (191cm) ni kwamba huna akili
Huyo Sippel nimekuuliza ana 1.79m kama Diarra mbona unashindwa kueleza kwanini umemtaja golikipa mrefu kabisa kujustify ufupi wa Diarra au ndio kuishiwa Hoja
Diarra 1.79m
Sippel 1.83m
Kwa uelewa wako kidogo wa namba, hizo namba hapo juu ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…