Wanahisi tunaongea kishabiki labda au chuki ila tunachosema ndio uhalisia wa mpira ulivyo kwa sasa ulaya yote na hata duniani tu
Huwezi kuwa na kipa mwenye urefu chini ya futi 6 (1.83m) ni risk kubwa sana
Ndio maana unaona hata mataifa ambayo kiasili ni wafupi mfano China, Japan au hata Korea Kusini pamoja na wao kuwa wafupi lakini hawana golikipa mfupi kama Diarra wote makipa wao wanaanzia 1.89m sasa ndio ije kuwa ulaya kweli?
Sote tunatamani Diarra afike mbali iweze kuipa heshima na ligi yetu ila kiuhalisia ni HAIWEZEKANI KAMWE.