Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

AFCON hii ikiisha, sidhani kama bado ataaendelea kuwepo yanga.
Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili
 
Watu wa Magharibi kwenda Ulaya ni kawaida ndio maana Timu za huko wamejaa sana Ulaya shida ni kutoka mbagala upewe miguu ya kutokea na kina Karia ni ngumu mno mno...
 
Mali msimu huu ni title contender.
 
Ongeza Aliou Dieng Al Ahly ya Misri
 
Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili
Maneno yako yanatosha kueleza wewe ni mtu wa aina gani
 
Hiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara
Fabian Barthez kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 180 cm urefu

Iker casilas kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 182 cm urefu

Djigui Diarra Ana 179 cm urefu

Hakuna sababu yoyote ya kumfanya asiwe bora kuchezea timu za ulaya .
Kudaka ni mazoezi , akili na nguvu .
 
Kabi
Huu uzi mshabiki wa simba mashavu yamewavimba c mchezo

Kabisa mkuu watu wamejidhihirisha jinsi gani wanaroho ngumu za chuki
Hawa washenzi ndo ukute hata hawajawahi kuvuka mkoa!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Diarra angekua mrefu wangetafta sababu nyingine mtu akiwa na roho mbaya hata umfanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…