Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Haelewi hilo. Atazame akina Martinez au PickfordKitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haelewi hilo. Atazame akina Martinez au PickfordKitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Ww kilaza onana ni mrefu sanaOnana ana kimo gani...ni mfupi kuliko hata diarra.....
AFCON hii ikiisha, sidhani kama bado ataaendelea kuwepo yanga.Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga.
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Hivi mkuu hizo data za Sippel unazitoa wapi?Hizo 183cm unazitoa wapi mbona vitu vingine ni rahisi sana yaani kutumia akili tu unaona uvivuView attachment 2874435View attachment 2874436
Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hiliAFCON hii ikiisha, sidhani kama bado ataaendelea kuwepo yanga.
Mali msimu huu ni title contender.Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Ongeza Aliou Dieng Al Ahly ya MisriUna mzaha sana, Mali ndio timu ya taifa yenye wachezaji wengi zile ligi 5 barani Ulaya ndani ya Afcon hii yaani EPL, Bundesliga, La Liga, Serie A pamoja na Ligue 1. Diarra na golikipa #3 Aboubacar Doumbia ndio wachezaji pekee kutoka bara la Afrika ndani ya Mali.
Watu wengi tulifahamu fika SA watakaa sana na mpira ila ubao utasomeka tofauti na possesion yao. Huwezi kushinda mechi ngumu dhidi ya timu kama Mali yenye wachezaji wengi ligi kubwa barani Ulaya halafu unamtemegea Percy Tau akubebe.
Maneno yako yanatosha kueleza wewe ni mtu wa aina ganiAtaenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili
28, na kwa tabia za kiafrika kujipunguza umri sio ajabu akiwa na 30+Ana umri gani ?
Age Aint Nothing28, na kwa tabia za kiafrika kujipunguza umri sio ajabu akiwa na 30+
Fabian Barthez kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 180 cm urefuHiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara
Kwa wachawi kule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani watu khaaah
Huu uzi mshabiki wa simba mashavu yamewavimba c mchezo
Diarra angekua mrefu wangetafta sababu nyingine mtu akiwa na roho mbaya hata umfanyejeFabian Barthez kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 180 cm urefu
Iker casilas kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 182 cm urefu
Djigui Diarra Ana 179 cm urefu
Hakuna sababu yoyote ya kumfanya asiwe bora kuchezea timu za ulaya .
Kudaka ni mazoezi , akili na nguvu .