Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Hizo 183cm unazitoa wapi mbona vitu vingine ni rahisi sana yaani kutumia akili tu unaona uvivuView attachment 2874435View attachment 2874436
Hivi mkuu hizo data za Sippel unazitoa wapi?
Hizi hapa Data toka Bundesliga wenyewe official websites pamoja Transfer market zote zinaeleza height ya golikipa ni 1.83m
Screenshot_20240117-152705_Chrome.jpg
Screenshot_20240117-152642_Chrome.jpg
 
AFCON hii ikiisha, sidhani kama bado ataaendelea kuwepo yanga.
Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili
 
Watu wa Magharibi kwenda Ulaya ni kawaida ndio maana Timu za huko wamejaa sana Ulaya shida ni kutoka mbagala upewe miguu ya kutokea na kina Karia ni ngumu mno mno...
 
Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Mali msimu huu ni title contender.
 
Una mzaha sana, Mali ndio timu ya taifa yenye wachezaji wengi zile ligi 5 barani Ulaya ndani ya Afcon hii yaani EPL, Bundesliga, La Liga, Serie A pamoja na Ligue 1. Diarra na golikipa #3 Aboubacar Doumbia ndio wachezaji pekee kutoka bara la Afrika ndani ya Mali.

Watu wengi tulifahamu fika SA watakaa sana na mpira ila ubao utasomeka tofauti na possesion yao. Huwezi kushinda mechi ngumu dhidi ya timu kama Mali yenye wachezaji wengi ligi kubwa barani Ulaya halafu unamtemegea Percy Tau akubebe.
Ongeza Aliou Dieng Al Ahly ya Misri
 
Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili
Maneno yako yanatosha kueleza wewe ni mtu wa aina gani
 
Hiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara
Fabian Barthez kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 180 cm urefu

Iker casilas kipa wa zamani namba 1 kwa ubora duniani alikuwa 182 cm urefu

Djigui Diarra Ana 179 cm urefu

Hakuna sababu yoyote ya kumfanya asiwe bora kuchezea timu za ulaya .
Kudaka ni mazoezi , akili na nguvu .
 
Diarra angekua mrefu wangetafta sababu nyingine mtu akiwa na roho mbaya hata umfanyeje
 
Back
Top Bottom