Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.

Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.

Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.
 
Wazo zuri sana.
 
So, kama mpo 20+ hiyo $100 x 20 = $24,000 a year!!!

Sidhani kama hii itakosa mkopo mnono kutoka benki.

Hivyo mwajenga au kununua ardhi ya kujenga Malls, Petrol station, Service Station na kadhalika.

Ni mipango tu, tena mipango thabiti.
 
Mie natafuta watanzania 30 tu, tuwekeze laki 200,000 kila mwez kwa miaka 2! Tufungue biashara nzuri ya maana! Basi...sijui kwann naamini katika team work sana!

Huku niliko nilikuwa na watu tunasave mwaka ulivyoisha kila mtu anamajanga anataka hela yake,,tukagawana ndo ikaishia hapo.
 
Wa Ethiopia wametoboa sana kwa team work.
 
Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.

Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.

Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.

Wewe uwe msimamizi wa mpango mzima kama kukusanya hiyo michango nk, wasemaje???
 
Kuna kuwa na account mnaiweka fixed deposit kwa miaka miwili hakuna kuchukua hela mnaweka tu.
 
Mie natafuta watanzania 30 tu, tuwekeze laki 200,000 kila mwez kwa miaka 2! Tufungue biashara nzuri ya maana! Basi...sijui kwann naamini katika team work sana!

Huku niliko nilikuwa na watu tunasave mwaka ulivyoisha kila mtu anamajanga anataka hela yake,,tukagawana ndo ikaishia hapo.
30ppl×Tsh.200,000×24months=Tsh.144mil

Pambana mkuu.
 
Back
Top Bottom