Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,371
Na sisi tuliopo Congo pia tupo diaspora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Buguruni sokoni imekuwa Congo?Na sisi tuliopo Congo pia tupo diaspora?
Hapo Buguruni sokoni imekuwa Congo?
Acha kufoka basi..Nani anakaa buguruni sokoni?
Uko wapi?Mie natafuta watanzania 30 tu, tuwekeze laki 200,000 kila mwez kwa miaka 2! Tufungue biashara nzuri ya maana! Basi...sijui kwann naamini katika team work sana!
Huku niliko nilikuwa na watu tunasave mwaka ulivyoisha kila mtu anamajanga anataka hela yake,,tukagawana ndo ikaishia hapo.
Nafikiri hata wa ndani iwe sawa, bora maelewano.Hivi na sisi ambao tupo Msumbiji ni sehemu ya Diaspora?
Nimeuliza wewe kama unaona nimefoka, kivyako. Next time usiandike kitu cha uongo. Skai buguruniAcha kufoka basi..
kwani vita?
Ukweli ni kuwa hakuna uaminifu.very good idea...sema watanzania hatuaminiani...
Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.
Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.
Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.
Kuna hoteli moja ni ya Mnigeria huko Ughaibuni. Huyu mwenye hoteli alikua afisa mwanamizi wa jeshi nchini kwao. Amestaafu na amewekeza kwenye mgahawa wa vyakula vya kwao lakini upo kwenye hadhi nzuri sana.Natamani ungejua wabongo tulivyo huku diaspora. Yaani hata kwenye jumuiya zetu huku ni uswahili mtupu.
Hatuwezi kuendelea kwa sababu jumuiya zinaendeshwa kwa malengo ya watu binafsi. Hakuna anayewaza kuwekeza kwa pamoja kwasababu hatuaminiani.
Mnakwama wapi kupangia pesa zenu?Tuliosoma biashara tupo kwa msaada wa kufanya management ya hiyo pesa ni suala la kupanga tu
👊🏼💰 well said!Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.
Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.
Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.
Well I have done it myself, we were 11 of us and we agreed to collect 1,000 each monthly and is given to one of us. A year you are guaranteed 10,000 of whatever currency. That was the only way I managed to build my first house.
With a trust+ a good level of discipline it’s possible.
Niliwahi ku suggest kitu kama hiki kwa diaspora wa nchi fulani huko majuu. Wazo langu lilipingwa vikali kwa madai kua wao wameshalizwa sana hawataki kabisa kusikia swala linalohusisha kutuma hela Tanzania ni bora hizo investment wafanyie huko huko. Pia kwavile wengi wa diaspora wamezamia nchi za watu na wengine hata makaratasi hawana, walikua wanaogopa kuingia kwenye mikataba au issues zinazohusu mambo ya sheria wakiogopa isije ikawaletea shida.Pia ninadhani ni tahisi mkiwa na common values such as you are neighbours or work mates.
Mnakwama wapi kupangia pesa zenu?