mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Matajiri wangekuwa na mawazo Kama yako wasingetajirika.
Wazo zuri, lakini hakuna kitu kibaya kama kuanzisha biashara/mradi halafu umwachie mtu mwingine asimamie. Lazima kuna kupigwa.