Mnafanya kama team work, hela ikitosha mnatafuta contractor wa kujenga. Mall ikiisha mnatafuta manager.Wazo zuri, lakini hakuna kitu kibaya kama kuanzisha biashara/mradi halafu umwachie mtu mwingine asimamie. Lazima kuna kupigwa.
Wazo zuri sana.Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.
Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.
Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.
Management ya hiyo idea yako ni ngumu mno haswa biashara inasimamiwa na hawa wabongoMnafanya kama team work, hela ikitosha mnatafuta contractor wa kujenga. Mall ikiisha mnatafuta manager.
Wa Ethiopia wametoboa sana kwa team work.Mie natafuta watanzania 30 tu, tuwekeze laki 200,000 kila mwez kwa miaka 2! Tufungue biashara nzuri ya maana! Basi...sijui kwann naamini katika team work sana!
Huku niliko nilikuwa na watu tunasave mwaka ulivyoisha kila mtu anamajanga anataka hela yake,,tukagawana ndo ikaishia hapo.
Diaspora mkiweza kuwekeza kwa mfano muweke $100 kila mwezi kila mmoja. Muunde kamati, muamue kujenga kitu mfano Mall.
Inategemea idadi yenu, mkiwa 20+ mtamaliza haraka. Mkimaliza kila mtu aingiziwe faida yake kila mwezi.
Hata mkichoka kubeba mabox faida itakua inaingia kila mwezi kama kiinua mgongo cha ziada.
acheni hizo bhana nye si mpo hapo tu nyuma ya mtwaraHivi na sisi ambao tupo Msumbiji ni sehemu ya Diaspora?
30ppl×Tsh.200,000×24months=Tsh.144milMie natafuta watanzania 30 tu, tuwekeze laki 200,000 kila mwez kwa miaka 2! Tufungue biashara nzuri ya maana! Basi...sijui kwann naamini katika team work sana!
Huku niliko nilikuwa na watu tunasave mwaka ulivyoisha kila mtu anamajanga anataka hela yake,,tukagawana ndo ikaishia hapo.
Lakini tupo nje ya nchi yetu TZacheni hizo bhana nye si mpo hapo tu nyuma ya mtwara