Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

Sio watanzania nilikuwa na shida na ww Kuna VITU nilikuwa nataka kujua khs UK ulinipotezea km unijui Hali hii ni Diaspora mwenzio watanzania kazi yetu chuki Roho mbaya na roho ya kwa nn mwenzio asipate...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kuwa na account mnaiweka fixed deposit kwa miaka miwili hakuna kuchukua hela mnaweka tu.

Ikifika siku ya kutoa kwa ajili ya mpango mzima nani ataratibu??--- kumbuka uaminifu ni jambo muhimu sana katika mambo ya jumuiya, au umesahau zama za maduka ya ushirika during those Ujamaa eras??
 
Ikifika siku ya kutoa kwa ajili ya mpango mzima nani ataratibu??--- kumbuka uaminifu ni jambo muhimu sana katika mambo ya jumuiya, au umesahau zama za maduka ya ushirika during those Ujamaa eras??
Mnakua na mawasiliano, ikiwezekana siku ya kutoa mnafanya transaction kwa malipo ya kiwanja, mkandarasi nk. Pia mnakua na mwanasheria.
 
Hivi ule mpango wa dayasipora wa kujenga daraja ulifikia wapi?
 
Mnakua na mawasiliano, ikiwezekana siku ya kutoa mnafanya transaction kwa malipo ya kiwanja, mkanxarasi nk. Pia mnakua na mwanasheria.

Huyo mwanasheria ni mtu au ni Robot??-- what I mean, you can't walk faster togeher rather you can being alone. Yours is an appealing theory to ponder and not to implement.
 
Hii kitu, nimeona kwa 254 wamefanikiwa wengi.
Ila inahitaji hao mnaowaita Diasporas wawe wanapokezana kusimamia huo mradi.
Ukisema ukae utume pesa bila kutembelea/kuwepo hapo, utaumia.
 
Huyo mwanasheria ni mtu au ni Robot??-- what I mean, you can't walk faster togeher rather you can being alone. Yours is an appealing theory to ponder and not to implement.
Well I have done it myself, we were 11 of us and we agreed to collect 1,000 each monthly and is given to one of us. A year you are guaranteed 10,000 of whatever currency. That was the only way I managed to build my first house.
 
Wazo zuri ila watanzania wakiwaga nje wakiwaga na mishahara mikubwa hawatakagi biashara kabisa
 
Usiwaingize watu Chaka.
Ni wamama wa hali ya chini tu ndio wanaweza kuungana kufungua bustani lkn nayo ikichanganya wanarudi kulekule.
 
Management ya hiyo idea yako ni ngumu mno haswa biashara inasimamiwa na hawa wabongo

Kuajiri kampuni inazodeal na management za biashara au kuingia kwenye partnership na mtu au watu wenye ujuzi wa kuendesha kampuni ni bora kuliko kuajiri manager ambaye baada ya muda atafungua kampuni yake huku yenu ikiteketea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…