Diaspora changeni pesa mfanye kitu kikubwa nyumbani

Mkuu, team work ni nzuri sana kama utapata watu wa maana na waaminifu ambao siku hizi ni wachache mno kwa sababu wengi wanaendekeza tamaa na kujifanya wana akili nyingi kuzidi wenzao katika hiyo team.
Sky Eclat
 
Hili jambo linawezekana sema tatizo la wabongo ni wababaishaji in nature Mradi ukianza zitaanza dana dana mpaka zitazuka ngumi
Hahahahahaaaaa mkuu umenichekesha sana lakini ulichosema ni sahihi kabisa wabongo ujanja wingi
 
ishu sio kuchanga ishu sio pesa ila

ishu ni nani msimamizi wa huo mradi?

wabongo tunajuana asili yetu kila mtu anamuona

mwenzake kama kajanja kajanja,mpk apatkane wakuaminiwa mmh
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Una mawazo mazuri sana
 
Diaspora wengi wamechoka mno, ni wanaona aibu tu kurejea nyumbani ila unakuta wanamiliki iPhone tu na kidhungu.

Ni mahodari wa kusoma vitabu tu, hovyo kabisa.... ni takataka na hazina umoja ni ujuaji tu!
 
Diaspora wengi wamechoka mno, ni wanaona aibu tu kurejea nyumbani ila unakuta wanamiliki iPhone tu na kidhungu.

Ni mahodari wa kusoma vitabu tu, hovyo kabisa.... ni takataka na hazina umoja ni ujuaji tu!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kila kitu wanakijua wao
 
Wazo zuri lakini sio kwa Tanzania nchi haiko stable kabisa biashara ya Leo sio ya kesho vitu vinabadilika upesi sana, sheria ziko chini ya kabati anytime zinabadilishwa na mtu mmoja tu kwa mawazo yake binafsi.
 
Sio lazima wafanye kitu nyumbani, hata wakifanya kitu huko huko walipo kama hawa wanao Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?
Wataipaisha Tanzania
P
 
Diaspora wa kibongo huko ughaibuni wanatafuta pesa ya kuja kutupora wake zetu ambao walikuwa ni ma x girl friend zao, wengi wao wana laana ndio maana hawafanyi mambo tangible, ni mwendo wa boa na ngono zembe tu
 
Pesa zitumwe kwenye akaunti ya Chama Chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…