Diaspora Hawatoi connection?

Diaspora Hawatoi connection?

kaka komaa mwenyewe ukitegemea mtu muda utakuacha bure hakuna atayekupa msaada hapa.
Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection

Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii

USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani

Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa wachoyo
 
Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeaba connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection

Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii

USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani

Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani walijitahidi mno
Mkuu umesema kweli kabisa hapa bongo kila mtu apambane kivyake kunaka ubinafsi fulani au tunaogopana nadhani .
wakenya wako mbali sana mimi binafsi nina ushuhuda nao kabisa wamesaidia pakubwa jamii yangu nashukuru Mungu alafu wana upendo wa kweli wanapenda kumuona mwengine anatoka katika maisha siyo kama wabongo.
 
Nilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...

Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
Ndiyo wabongo walivyo Mkuu hakuna kushangaa hapo.
 
Nilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...

Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
Mkuu huwezi jua kwanini alikuwa hataki labda alikuwa kaolewa uko
 
Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection

Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii

USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani

Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa

Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connection

Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii

USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani

Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa wachoyo
Connection wanazotoa wakenya, wanigeria, waghana etc ni hizi hizi mnazosaidiwa hapa ila wabongo wavivu wa kufikiri na matendo pia, wanapenda kulia lia na kulalamika tu. Sasa mnataka wabongo wawalishe kwa vijiko mle na kumeza mtataka kusaidiwa na kunya sasa. Wakenya akili zao sio kama hizi za wabongo wao wako sharp kujiongeza. Kuna thread humu zaidi 100 kuhusu haya haya ya connection na diaspora, sasa kama zote hizo hazijakusaidia wewe hupaswi kwenda mamtoni kaa huko huko upambane na tozo... bila akili huku mamtoni hauishi pia utabaki kulalamika hukuhifadhiwa kwiiikwiikwiii
 
Pole sana brother kwa hali iliyokukuta wakati huo ndivyo tulivyo aise hatuna upendo wa kweli siyo kama wenzetu kutoka Nigeria,ghana,kenya nk
Uko sahlhi

Nigeria,Ghana na Kenya.wako vizuri mno

Hata wasomali pia wako vizuri mno kwa wasomali wenzao

Tanzania sijui kuna pepo shetani gani kavamia tuna makabila zaidi ya 120.lakini character ya Diaspora wetu ni.moja ya uchoyo wa kupeana connection utafikiri tumezaliwa na.mama mmoja mchoyo.wa kabila moja.wakati makabila yetu yote tunapishana mila na desturi lakini tukikanyaga nje roho.ya uchoyo inavamia ghafla mtu hataki kuonyesha wengine connections
 
Diaspora kuna wakati wanatoa taarifa nzuri sana lakini wanashindwa tofautisha wakati namna walivyoenda wao huko nje na wakati wetu na njia walizotumia kufika huko. Hatutaki mtukatie ticket wala kuishi kwenu lakini mtupe moyo namna ya kufika huko suala la kufanikiwa au kutofanikiwa ni juhudi binafsi za mtu na mipango ya Mwenyezi Mungu. Kuna wanataka kuja kwa njia ya masomo basi mtupe hints zilizoshiba ili tusiwe tunatubu sana maana hata lugha yenyewe bado kikwazo kwetu. Kufanikiwa popote lakini palipo enedelea rahisi sana kutoboa.
 
Nilikutana na mbongo nchi flani jamaa alivyoona naongea naye kiswahili akanikataa alikua mkali[emoji3][emoji3][emoji3] mtu wa Ngara huko...

Mpaka naondoka ile sehemu sijawahi kukutana na mbongo tena.....
🤣🤣🤣🤣🤣 ajabu asee, bora ukutane na foreigner aliyewai ishi Tz au kujifunza kiswahil atafurah ongea na wewe..
ila haya mambo ni 50/50 unaweza fanikiwa/kutofanikiwa nenda na clear mind.
 
Connection wanazotoa wakenya, wanigeria, waghana etc ni hizi hizi mnazosaidiwa hapa ila wabongo wavivu wa kufikiri na matendo pia, wanapenda kulia lia na kulalamika tu. Sasa mnataka wabongo wawalishe kwa vijiko mle na kumeza mtataka kusaidiwa na kunya sasa. Wakenya akili zao sio kama hizi za wabongo wao wako sharp kujiongeza. Kuna thread humu zaidi 100 kuhusu haya haya ya connection na diaspora, sasa kama zote hizo hazijakusaidia wewe hupaswi kwenda mamtoni kaa huko huko upambane na tozo... bila akili huku mamtoni hauishi pia utabaki kulalamika hukuhifadhiwa kwiiikwiikwiii
Acha kuongea upuuzi wewe

Nenda YouTube wakenya Diaspora wamejaza hadi video kibao.za namna ya kupata fursa nje na namna ya kwenda walivyo na roho.nzuri

Scholarship tu angalia w website ya wizara yetu ya elimu Tanzania na ulinganishe website ya wizara ya elimu.ya Kenya

Website ya Kenya imejaa matangazo ya scholaship lukuki mkenya ashindwe mwenyewe zimejaa nyingi mno

Tanzania zinafichwa

Wizara ya elimu inabania sisi wachoyo passport wachoyo kutoa na scholarship serikali kuweka wazi zote wachoyo

Wizara ya elimu kenya sio wachoyo zote wanaanika kwenye website yao

Sasa wewe kusema watanzania wavivu kivipi? Wakati serikali inaficha hsiweki wazi .Wakitoa ni scholarship chache tu kwa ku beep
 
Mpuuzi wewe na mamtoni hautaenda kamwe pimbi wewe.Nyie ndio enzi za Kikwete mlikua mnawaponda diaspora na kusema bongo New York, leo maji yako shingoni mnajidai connection, mnakumbuka shuka kumekucha . By the way, video hata EBM nae kesharusha nyingi na mikutano ya Green card kaifanya sana hapo bongo, kama hukuambulia kitu basi ujijue wewe ni wa kwa tozo tu hamna namna. Kingine kama Wakenya wamerusha video wewe ni nini huelewi toka kwa wakenya??? Au lugha ya malkia ni kikwazo??? Endeleeni kulalamika JF, connection zilizopo ndio hizo hakuna spoon feeding hapa. Nyanoko!
 
Green card sio connection ujinga mtupu ilr ni bahati nasibu

Wakenya connection wanapeana ni kuambiana hapa kuna kazi moja mbili tatu kuipata fanya moja mbili tatu au kuna chio kinatoa scholarship huku.ugenini au kusoma bure fanya moja mbili tatu

Green lottery unaita connection shame on you
 
Kingine kama Wakenya wamerusha video wewe ni nini huelewi toka kwa wakenya??? Au lugha ya malkia ni kikwazo??? Endeleeni kulalamika JF, connection zilizopo ndio hizo hakuna spoon feeding hapa. Nyanoko!
Si kwamba sielewi

Hoja hapq kuu no.kuongelea uchoyo wa Diaspora wa kitanzania nje ku shea information za connection

Wakenya wanatoa tena nyingi
TANZANIA Diaspora hakuna kitu wachoyo hata information tu

Ukitaka kupata kuwa mtu usipoteze muda jaribu video za YouTube za Diaspora wakenya ziko more informative

Za watanzania nyingi ni kama za Safari au tourist channel kueleza maisha wakiko huko nje
 
Green card sio connection ujinga mtupu ilr ni bahati nasibu

Wakenya connection wanapeana ni kuambiana hapa kuna kazi moja mbili tatu kuipata fanya moja mbili tatu au kuna chio kinatoa scholarship huku.ugenini au kusoma bure fanya moja mbili tatu

Green lottery unaita connection shame on you
Kama ulikua hujui basi green card ndio njia rahisi na cheap kuliko zote, zaidi ya hio hivi wewe una 35+m ya kibongo ya kuweza kukufikisha huku US ukaanza new life?? Kama huna tulia na ukojoe ulale.
Hizo infos unasema wakenya wanatoa zipo online bwerere, uvivu wako tu.
 
Kama ulikua hujui basi green card ndio njia rahisi na cheap kuliko zote, zaidi ya hio hivi wewe una 35+m ya kibongo ya kuweza kukufikisha huku US ukaanza new life?? Kama huna tulia na ukojoe ulale.
Naijua vizuri sana kupata Green si rahisi sababu ni bahati nasibu na ukipata bado unahitaji connection kuwa hata uwe na pesa za tiketi bado utahitaji host wa kuku host na kukupa connection za ukifika USA kazi utapata wapi ,Social Security namba nknk
Ili ukitua tu USA mtu ajue aelekea wapi

Kupewa Green card pekee si kuwa mtu katoka bado ahitaji connection ambazi Diaspora wetu hawataki ku share
 
Mimi kinacho nifurahisha ni kuona kua zile thd za kuponda wabeba box hapa JF hazipo tena,badala yake hata wale wapondaji nao wanataka connection,

Nakomaa na box,nitarudi kusoma povu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wabongo wanaponda wabeba box kumbe behind the scene wanatamani kwenda kiwanja.

BTW; naomba connection ya kwenda Russia kupiga box
 
Back
Top Bottom