YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wakenya Diaspora wako vizuri sana kwenye kupeana connection za nje japo hupeana connection kikabila lakini kila mkenya akiwa nje hana uchoyo wa kutoa connection kwa watu wa kabila yake tena husikia furaha tena wakiwa ndugu zake ndio kabisa ukoo mzima yuko tayari kuwapa connectionkaka komaa mwenyewe ukitegemea mtu muda utakuacha bure hakuna atayekupa msaada hapa.
Kwa Kenya kabila linaloshika nafasi yakwanza kuwapa kabila yao connection ni wakisii
USA wamejaa hatari mbeleni huko wakisii watakuwa moja ya makabila makubwa Marekani
Watanzania diaspora kila kabila wachoyo kidogo wanaojitahidi wahaya lakini sio wa sasa ni wale wazee wa zamani wa kihaya walijitahidi mno hawakuwa wachoyo