Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN.

Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu Samia uhalali wa kuongelea Demokrasia lakini bahati mbaya walikosa uungwaji mkono.

Your browser is not able to display this video.
 
Rais anayezungumza uwongo hatakiwi kwenye jamii na hata duniani
 
Watanzania wa Diaspora ndio nani bwashee?
 

Mnajitekenya na kucheka wenyewe tulieni dawa iwaingie
 
Rais anayezungumza uwongo hatakiwi kwenye jamii na hata duniani
Mmebakia porojo tu tumeishawazoe.
Diaspora Mangekimambi alone aliisimamisha nchi nzima Na Sherehe za Muungano zikafutwa.
Mange alifanya maandamano ubalozi wa Tanzania Washington na wengine UK wakamuunga mkono.
Leo Chadema na Space mmeshindwa kuleta meaningful protest in UN
 
Mtoa hoja usiwe na tabia kama za mbuni(soma kuna mada kuhusu tabia yake humu),je unaweza kabisa kutamka kuwa ccm inatawala kihalali?inashinda chaguzi zote kihalali?pls mkuu ongozwa na imani yako ndani ya moyo wako sio pretending ili uonekane tofauti na uhalisia wako.Demokrasia ndani ya nchi yetu bado sana na kuwa na middle class as you kunafanya hali iwe mbovu zaidi.
 
Acha ushabiki maandazi katika mambo yenye maslahi mapana kwa taifa.na sii yale yenye maslahi kwa wachache.Yapi ni yauonga katika yanayolalamikiwa tangu nyumbani hata ughaibuni.
 

Huo ndio upumbavu wenu. Wamepewe pesa na nani? Nani asiyejua habari za Mbowe duniani? Naomba usiniudhi na ujinga ujinga wenu hapa.
 
What????You are not serious !Wameshindwa kuleta meaningful protest in UN,Ni hivi hata wewe umeleta Uzi huu ili kuzima mabango yaliyoenda UN !!ukweli kuwa ujumbe umeshamfikia SHS na kuanzia hivi sasa tegemea chochote kutokea
 
Hii ndio tabia ya kichawi, kujipendekeza, kujikomba na kufuta viatu vya wahalifu kwa makalio.

Umasikini uliotopea wa akili hupotosha uono sahihi na kufikiri.
Iwapo kuna binadamu wwngine wanateswa bure unapata wapi uhalali wa kuwasifia waonevu.
Huna tofauti na Intarahamwe kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…