Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

Wasamehe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimecheka uliposema well too bad!

Hapa ni Mwanza baby....jiji la mawe!

9E92089F-75FB-4FCF-A19E-579AF9AE116A.jpeg
 
4dc2630f528281f57bf108f665d96e59.jpg

Mfereji wa hivi unakubalika vipi? Ni uchafu na ni mtaro wa kuzamisha daladala nzima na barabara haina kizuizi (barrier) Mnisamehe ila huu mfereji una maanisha akili mgando za wabongo. Ilitakiwa wakazi wagome. Na hawa wabunge wa milioni 9 kwa mwezi hawayaoni haya.
 
Halafu mtu anaweza kuwa kashazoea hiyo harufu ya sewage, haijui. Ukimwambia hapa pananuka sewage anaona unamtukana.

Oh yeah. Tena wenzio unakuta wanakula tu chipsi vumbi zao [zinaitwa chipsi vumbi kweli] au kiti moto na mikachumbari na mazagazaga mengine around hiyo harufu na wala hawastuki!

Been to Malaika beach resort in Mwanza? That place is on point. If you’ve never been there next time you’re in town make an effort to check it out. Beautiful lakeside hotel....

56454603-4774-4FA1-A4C9-198D3C0A355B.jpeg
 
Oh yeah. Tena wenzio unakuta wanakula tu chipsi vumbi zao [zinaitwa chipsi vumbi kweli] au kiti moto na mikachumbari na mazagazaga mengine around hiyo harufu na wala hawastuki!

Been to Malaika beach resort in Mwanza? That place is on point. If you’ve never been there next time you’re in town make an effort to check it out. Beautiful lakeside hotel....

View attachment 665354
Thanks for the tip. Next time in TZ I would like to spend more time upcountry and in Zanzibar and as little as possible time in Dar.

I haven't been to Malaika Beach. But I will make it a point to visit if my schedule allows.
 
1b9abf3c28f5ed432da7205a2197abf1.jpg

Umeiona hiyo barabara? Sasa wajenzi wanashindwa nini kuweka hivyo vitofali kutengeneza barabara za kufikia majumbani mwao na kuepuka adhabu ya matope mvua ikija. Miji mingi Ulaya ina barabara na maeneo ya hivyo.
 
4dc2630f528281f57bf108f665d96e59.jpg

Mfereji wa hivi unakubalika vipi? Ni uchafu na ni mtaro wa kuzamisha daladala nzima na barabara haina kizuizi (barrier) Mnisamehe ila huu mfereji una maanisha akili mgando za wabongo. Ilitakiwa wakazi wagome. Na hawa wabunge wa milioni 9 kwa mwezi hawayaoni haya.

Ndo mitaro ya bongo hiyo. Hata mikoani nako hivo hivo.
 
1b9abf3c28f5ed432da7205a2197abf1.jpg

Umeiona hiyo barabara? Sasa wajenzi wanashindwa nini kuweka hivyo vitofali kutengeneza barabara za kufikia majumbani mwao na kuepuka adhabu ya matope mvua ikija. Miji mingi Ulaya ina barabara na maeneo ya hivyo.

Inawezekana sana ila sema basi tu! Tatizo hasa sijui hata ni nini.

Huwa nikiweka mapicha ya suburbs za US huwa hapatoshi humu!
 
Mkuu Delegate hii ni sawasawa kuku wa kisasa a.k.a kuku wa kizungu kupelekwa kuishi maisha ya kuku wa kienyeji ,kujitafitia riziki haaaahaaa achukui round anakufa!!
 
Watanzania hatuna mipaka ya kujuana.....

Mtanzania akikujua sana haheshimu privacy zako.....

Mtanzania akikujua sana anataka akutawale.....

Mtanzania akikujua sana anataka ayaongoze maisha yako......

Mtanzania akikujua sana ni tabu......
This is fact
Kuna bwana mi natumia gharama zangu kudownload movies na series ye ashanigeuza mi studio kila weekend a nakuja Kwang kunyonya
Halafu Anafanya kazi sehem yenye WiFi

Namuelekeza jins ya kudownload et anasema inachukua muda mrefu
 
Back
Top Bottom