Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 489
Huu mtaro upo kwenye moja ya thoroughfares za jiji la Dar!
View attachment 665340
Mitaa ya matajiri hii....
View attachment 665341
Wasamehe mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nimecheka uliposema well too bad!
Mwanza seems a bit cleaner than Dar. True or just perception?
Wanachoniboa ni ubinafsi. Wakichanga wanaweza kuweka lami au hata mawe hicho kichochoro chao. Sasa subiri mvua ije hapo.
Mwanza seems a bit cleaner than Dar. True or just perception?
Halafu mtu anaweza kuwa kashazoea hiyo harufu ya sewage, haijui. Ukimwambia hapa pananuka sewage anaona unamtukana.I’d say true....
Dar stinks....Mwenge smells like sewage. Vingunguti has a nasty smell too. The whole city is dirty. The airport is dirty. A lot of people are dirty. Hahahaaa
I’d say true....
Dar stinks....Mwenge smells like sewage. Vingunguti has a nasty smell too. The whole city is dirty. The airport is dirty. A lot of people are dirty. Hahahaaa
Halafu mtu anaweza kuwa kashazoea hiyo harufu ya sewage, haijui. Ukimwambia hapa pananuka sewage anaona unamtukana.
Thanks for the tip. Next time in TZ I would like to spend more time upcountry and in Zanzibar and as little as possible time in Dar.Oh yeah. Tena wenzio unakuta wanakula tu chipsi vumbi zao [zinaitwa chipsi vumbi kweli] au kiti moto na mikachumbari na mazagazaga mengine around hiyo harufu na wala hawastuki!
Been to Malaika beach resort in Mwanza? That place is on point. If you’ve never been there next time you’re in town make an effort to check it out. Beautiful lakeside hotel....
View attachment 665354
Dar watu wengi.
Mfereji wa hivi unakubalika vipi? Ni uchafu na ni mtaro wa kuzamisha daladala nzima na barabara haina kizuizi (barrier) Mnisamehe ila huu mfereji una maanisha akili mgando za wabongo. Ilitakiwa wakazi wagome. Na hawa wabunge wa milioni 9 kwa mwezi hawayaoni haya.
Umeiona hiyo barabara? Sasa wajenzi wanashindwa nini kuweka hivyo vitofali kutengeneza barabara za kufikia majumbani mwao na kuepuka adhabu ya matope mvua ikija. Miji mingi Ulaya ina barabara na maeneo ya hivyo.
This is factWatanzania hatuna mipaka ya kujuana.....
Mtanzania akikujua sana haheshimu privacy zako.....
Mtanzania akikujua sana anataka akutawale.....
Mtanzania akikujua sana anataka ayaongoze maisha yako......
Mtanzania akikujua sana ni tabu......