Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania


It is still livable.
 
Ushauri mzuri sana...
 
Ushauri mzuri sana...

Kisheria maana yake nipambane na serikali kama Acacia. Ninue ardhi, niipe hisa serikali halafu nikivuna mahindi nigawane na serikali nusu kwa nusu. Debe kwa debe. Nikizingua mahindi yatakamatwa kama mchanga wa makanikia[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ushauri ulitolewa hapa eti sisi wa Marekani tunasema sana mbona wa Uingereza wanafungua akaunt. Yaani niweke dola zangu kwenye akaunti kwa kutumia barua feki ya mwenyekiti wa mtaa? Hela niliyoitolea jasho kihalali nije kuiweka mwewe kinyamanyama hicho namna hiyo?

Kwanza sijui wabongo wanajuaje wakikuona tu wanajua umetoka nje. Kuna siku niko Kariakoo muuza duka akaniambia wewe hutanunua nguo hapa hiyo fulana yako umenunua nje hapa hupati hiyo.
 
Delegate kauliza kupata ushauri, ila naona yamekuwa mabishano ya kufa mtu kuhusu kiasi cha hela, good times, hali ya hewa, kuogopa kurudi kisa kama una cholesterol au pressure!
Wazazi wetu wengi walikwenda huko, wakarudi wako safi, kama walipoteza maisha naamini ulikuwa wakati wao na siyo hali ya hewa au kukosa huduma au hali mbaya kifedha, jumla ya hayo wakaweza kutusomesha na watoto waliobahatika wakafika Ughaibuni..
Kama wa Ughaibuni walilewa kwenye mazingira haya bongo, ambayo kwa sasa ni mazuri zaidi, kwanini walio Ughaibuni bado wanapaogopa hapa?!
Kama maisha ni popote basi hata hapa ulipozaliwa na kulelewa surely kutakuwa rahisi zaidi!
Anyway, wanaotaka kurudi na kuendelea au kuanza upya maisha Nyumbani njooni, mtoto hafi njaa kwao!
Tunawasubiri mje mtupe elimu, ujuzi, maarifa na stori kebekebe za huko..
 
Mtoto hafi njaa kwao!
Anakufa njaa baba kwao. Nusu ya methali za kiswahili ni za kibwege na zina methali za kinyume chake.
 
Acheni ushamba rudini mkaijenge nchi.This country still virgin kama unashindwa ni ushamba wako tu.
 
Kwa kweli ni hali ngumu sana .ikiwa umejiandaa au hujajiandaa.
Kubadilisha taratibu ZAKO.
Mir nimeishi nnje miaka mingi sana .nilipo Rudi nilikuwa na mipango mingi tu .lakini hali imebadilika sana .
Kwa hiyo nimesitisha plan I yote .na namejwekeza shambani.
 
Safi sana..
 
Njooni tubadili katiba wote ili tuishi nchi ya asali na maziwa kama muishivyo.
Mukituachia sisi tuwe wahanga nyie muje kuishi kwenye barabara za vioo hamtaishi ndoto yenu.
Hata tukifa wote then waΔ·arudi hao WTZ waishio nje wakaja kuzaliana tena kutakuwa hivi hivi rangi nyeusi ina laana hata huko nje watu weusi ndiyo wanaongoza kwa matukio ya kuuana na kufungwa jela. ANGALIA TU WAKINA MYWEATHER ,Tyson,50 cent wanapiga na mahela wametandaza kitandani hii inaonesha walivyo machizi na washamba wa kuzaliwa.So Blacks tuna wehu wa asili na ndio uchawi wetu wa kutoendelea
 
Duh..πŸ™πŸ˜•πŸ˜±πŸ˜΅
 

Nikusahihishe kwanza Mayweather bonge la mjanja. Huyo Mayweather, P Diddy, Jay Z, Dr. Dre. Oprah, Michael Jordan,Tyler Perry, hao wana pesa ndefu sana. Si pesa ya mtu mwenye lana.

Usisahau kina Obama, Denzel Washington, Tyler Perry, Spike Lee na wengineo wengi ambao wana pesa na hawana skendo za mtoto wa nje, hawatafuti kiki wala hutasikia gazeti likiandika utumbo juu ya maisha yao.

Watu weusi tuko vizuri sana tu hakuna laana yeyote. Kama nilivyosema wakigundua utaalamu wa kuchangiana akili kama kuchangiana damu tutasaidiana
 
Watu weusi tuna laana ya kuzaliwa we mwenyewe upo huko unakenua ukifurahia appartment na uzuri wa nchi iliyotengenezwa na mzungu. Imefika point umejisau kama hao wazungu ndo wanakuona kama sokwe mtu,ukaanza kupaita nyumbani kwenu bongo kuwa ni mavumbini.Then una conclude kuwa maisha yako ni matamu kushinda mtanzania uliemuacha huku.
Mimi natafsiri kuwa maisha matamu ni tafsiri na kuridhika kwa mtu binafsi na wala sio kuishi kwenye tyres au pavement.Huwa namshangaa aunt yangu akija likizo huku kutusalimia kutoka marekani huwa anakuwa amepauka ila baada ya kukaa nasi baada ya muda na kula nae dagaa na ugali mlenda sura yake inarejewa na furaha its like kama kuna kitu kinamshinikiza kukaa huko na pia anakuwa muoga kubaki hapa TZ Kama sisi na tuvimigahawa twetu(mradi unaoniweka mjini).
Usitetee hao blacks maana ndiyo wanaoongoza kwa unrests huko nchi za watu,kila leo stories za kupigana risasi,kila leo skendo za madawa.Na ndiyo maana mtoto wa kizungu akianza kudate na niga wazazi wanapinga sana kwa sababu wanajua mtoto wao anadate na bad sample ya binadamu,na ndiyo maana mnaishia kuolewa na mazee,matukunyema(wazungu magalasa)
Nina kamgahawa kangu nina amani moyoni nimefanikiwa kujenga nyumba yangu ya vyumba vitatu moyoni mwangu nina amani.
 
Hebu mfananishe Myweather kwa hela zake zitokanazo na kuoteshwa manundu na Bill gates nani mwenye ulimbukeni wa kijinga kati hao wawili.BLACKS TUNA MATATIZO UKATAE USIKATAE NDO HIVYO.
 
Obama
Obama ditched his white lover in ambition to be President after wild early years Obama ditched his white lover in ambition to be President after wild early years

Denzel Washington
Denzel Washington Cheating Scandal: 5 Fast Facts You Need to Know Denzel Washington Cheating Scandal: 5 Fast Facts You Need to Know via @heavysan
Tyler Perry
Tyler Perry, Son, Wife, Net Worth, House, Gay, Baby, Married, Height, Bio
https://heightline.com/tyler-perry-bio-net-worth-house-gay/
Tyler Perry Alleged Ex-Lover Joshua Sole Exposed – Did Perry Get Burned? CDL Exposes Scammer!
Tyler Perry alleged Ex-Lover Joshua Sole Exposed - Did Perry Get Burned? CDL Exposes Scammer | Celeb Dirty Laundry
 
Duh..Kumbe kuna wanaosifiwa halafu wanainmishwa?! Wanapigwa DUDU?! Duh..
Acha tuwaache wakae huko huko kama mambo yenyewe ndio hayo!
 
Mada imetulia sana, I natuma ufahamu wa mamtoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…