Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Ni kweli diaspora wengi ndo wanaziweka mjini familia zao zilizo Africa .Maisha hayafanani kuna wengine hao watoto ndio wanaowapa pesa ya kula na kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli diaspora wengi ndo wanaziweka mjini familia zao zilizo Africa .Maisha hayafanani kuna wengine hao watoto ndio wanaowapa pesa ya kula na kuishi.
Waulize watu Omaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kuna wanaopanda matreni hasa Ulaya. Kwa mfano wanaofanya kazi Washington DC kuna shida ya parking.Wengi wanapaki magari vituo vya treni wanaingia DC kwa treni. Wengine huona udhia wanapanda basi na treni.
Fikiria watu wa Canada. Ndio maana hakuna watu kule. Linchi kubwa vile lakini lina watu wachache kuliko Tanzania.
Ushauri mzuri sana...Hiki ni kisingizio tu, fanya vitu vyako kisheria uone kama serikali itakubugudhi.
Naona hutaki kuacha pensheni Marekani umesahau, kwenye economic meltdown hata hiyo pensheni huwa inarudi kusoma zero.
Hiyo unayotumia kwenda Hawaii na Cayman Island ukichukua as little as $10,000 huku bongo unapata 150-200 acres of productive land. Inafaa hata kufanyia processing ya ngozi ama kulimia maua (ambayo sisi hatuyahitaji) uka export huko huko. Mimi nadhan wenzetu mmeshapata exposure, mmeona technologies, mashines rudini muendeleze kwenu.
Ushauri mzuri sana...
Safi sana..Kwa kweli ni hali ngumu sana .ikiwa umejiandaa au hujajiandaa.
Kubadilisha taratibu ZAKO.
Mir nimeishi nnje miaka mingi sana .nilipo Rudi nilikuwa na mipango mingi tu .lakini hali imebadilika sana .
Kwa hiyo nimesitisha plan I yote .na namejwekeza shambani.
Hata tukifa wote then waķarudi hao WTZ waishio nje wakaja kuzaliana tena kutakuwa hivi hivi rangi nyeusi ina laana hata huko nje watu weusi ndiyo wanaongoza kwa matukio ya kuuana na kufungwa jela. ANGALIA TU WAKINA MYWEATHER ,Tyson,50 cent wanapiga na mahela wametandaza kitandani hii inaonesha walivyo machizi na washamba wa kuzaliwa.So Blacks tuna wehu wa asili na ndio uchawi wetu wa kutoendeleaNjooni tubadili katiba wote ili tuishi nchi ya asali na maziwa kama muishivyo.
Mukituachia sisi tuwe wahanga nyie muje kuishi kwenye barabara za vioo hamtaishi ndoto yenu.
Duh..🙁😕😱😵Hata tukifa wote then waķarudi hao WTZ waishio nje wakaja kuzaliana tena kutakuwa hivi hivi rangi nyeusi ina laana hata huko nje watu weusi ndiyo wanaongoza kwa matukio ya kuuana na kufungwa jela. ANGALIA TU WAKINA MYWEATHER ,Tyson,50 cent wanapiga na mahela wametandaza kitandani hii inaonesha walivyo machizi na washamba wa kuzaliwa.So Blacks tuna wehu wa asili na ndio uchawi wetu wa kutoendelea
Hata tukifa wote then waķarudi hao WTZ waishio nje wakaja kuzaliana tena kutakuwa hivi hivi rangi nyeusi ina laana hata huko nje watu weusi ndiyo wanaongoza kwa matukio ya kuuana na kufungwa jela. ANGALIA TU WAKINA MYWEATHER ,Tyson,50 cent wanapiga na mahela wametandaza kitandani hii inaonesha walivyo machizi na washamba wa kuzaliwa.So Blacks tuna wehu wa asili na ndio uchawi wetu wa kutoendelea
Tukaijenge nchi ?? Kwani nchi iliwasaidia kuondoka?? Hao wanaokula keki ya taifa ndio wa kuijenga nchi sio diaspora.Acheni ushamba rudini mkaijenge nchi.This country still virgin kama unashindwa ni ushamba wako tu.
Nyie tunaita mmeenda kwa jiraniHivi na sisi tuliopo Msumbiji tunahesabika kama Diaspora au mnatutenga?
Watu weusi tuna laana ya kuzaliwa we mwenyewe upo huko unakenua ukifurahia appartment na uzuri wa nchi iliyotengenezwa na mzungu. Imefika point umejisau kama hao wazungu ndo wanakuona kama sokwe mtu,ukaanza kupaita nyumbani kwenu bongo kuwa ni mavumbini.Then una conclude kuwa maisha yako ni matamu kushinda mtanzania uliemuacha huku.Nikusahihishe kwanza Mayweather bonge la mjanja. Huyo Mayweather, P Diddy, Jay Z, Dr. Dre. Oprah, Michael Jordan,Tyler Perry, hao wana pesa ndefu sana. Si pesa ya mtu mwenye lana.
Usisahau kina Obama, Denzel Washington, Tyler Perry, Spike Lee na wengineo wengi ambao wana pesa na hawana skendo za mtoto wa nje, hawatafuti kiki wala hutasikia gazeti likiandika utumbo juu ya maisha yao.
Watu weusi tuko vizuri sana tu hakuna laana yeyote. Kama nilivyosema wakigundua utaalamu wa kuchangiana akili kama kuchangiana damu tutasaidiana
Why?Duh..🙁😕😱😵
Hebu mfananishe Myweather kwa hela zake zitokanazo na kuoteshwa manundu na Bill gates nani mwenye ulimbukeni wa kijinga kati hao wawili.BLACKS TUNA MATATIZO UKATAE USIKATAE NDO HIVYO.Nikusahihishe kwanza Mayweather bonge la mjanja. Huyo Mayweather, P Diddy, Jay Z, Dr. Dre. Oprah, Michael Jordan,Tyler Perry, hao wana pesa ndefu sana. Si pesa ya mtu mwenye lana.
Usisahau kina Obama, Denzel Washington, Tyler Perry, Spike Lee na wengineo wengi ambao wana pesa na hawana skendo za mtoto wa nje, hawatafuti kiki wala hutasikia gazeti likiandika utumbo juu ya maisha yao.
Watu weusi tuko vizuri sana tu hakuna laana yeyote. Kama nilivyosema wakigundua utaalamu wa kuchangiana akili kama kuchangiana damu tutasaidiana
ObamaNikusahihishe kwanza Mayweather bonge la mjanja. Huyo Mayweather, P Diddy, Jay Z, Dr. Dre. Oprah, Michael Jordan,Tyler Perry, hao wana pesa ndefu sana. Si pesa ya mtu mwenye lana.
Usisahau kina Obama, Denzel Washington, Tyler Perry, Spike Lee na wengineo wengi ambao wana pesa na hawana skendo za mtoto wa nje, hawatafuti kiki wala hutasikia gazeti likiandika utumbo juu ya maisha yao.
Watu weusi tuko vizuri sana tu hakuna laana yeyote. Kama nilivyosema wakigundua utaalamu wa kuchangiana akili kama kuchangiana damu tutasaidiana
Duh..Kumbe kuna wanaosifiwa halafu wanainmishwa?! Wanapigwa DUDU?! Duh..Obama
Obama ditched his white lover in ambition to be President after wild early years Obama ditched his white lover in ambition to be President after wild early years
View attachment 668962
Denzel Washington
Denzel Washington Cheating Scandal: 5 Fast Facts You Need to Know Denzel Washington Cheating Scandal: 5 Fast Facts You Need to Know via @heavysan
Tyler Perry
Tyler Perry, Son, Wife, Net Worth, House, Gay, Baby, Married, Height, Bio
https://heightline.com/tyler-perry-bio-net-worth-house-gay/
Tyler Perry Alleged Ex-Lover Joshua Sole Exposed – Did Perry Get Burned? CDL Exposes Scammer!
Tyler Perry alleged Ex-Lover Joshua Sole Exposed - Did Perry Get Burned? CDL Exposes Scammer | Celeb Dirty Laundry